Hatimaye mulugo ang'oka rasmi elimu

muungano wa Tanzania uliokuwa umeunganishwa na Tanganyika na zimbabwe umevunjika leo baada ya mwanzilishi wa umoja huo kupinduliwa leo na amiri jeshi mkuu wa Tanzania
 
muungano wa Tanzania uliokuwa umeunganishwa na Tanganyika na zimbabwe umevunjika leo baada ya mwanzilishi wa umoja huo kupinduliwa leo na amiri jeshi mkuu wa Tanzania

Hahahahaaaa......mkuu
 
muungano wa Tanzania uliokuwa umeunganishwa na Tanganyika na zimbabwe umevunjika leo baada ya mwanzilishi wa umoja huo kupinduliwa leo na amiri jeshi mkuu wa Tanzania

ha ha ha haaaaaaaaaaaa
 
Lijiendee huko,likarudishe na vyeti vya watu,heee!!
 
Wakuu mzee wa division five(mulugo) hatimaye kang'oka rasmi kwenye baraza jipya la mawazir lililotangazwa na katibu mkuu kiongoz ikulu muda mfup uliopita. Pongezi kwake mkuu wa nchi kwa usikivu!!!

mulugo kaonewa tu kwani jamaa mtendaji mzuri tu zaidi ya kawambwa
 
Mulugo hakuwa mtendaji mkuu wa wizara kawambwa ndie alipaswa kuondoka na si mulugo kama aliona wizara ya elimu inaumwa basi ange watimulia mbali wote kawambwa, mulugo na mchome. Lakini sasa hivi amevua gamba nusu bado wizara inaumwa na asipo kuwa makini muda si mrefu itafariki kabisa!!!
 
Sioni mantiki ya kumuondoa Mulugo na kumbakisha kawambwa.
 
Gunzi ni gunzi tu. Liwe la mhindi mkavu au la mhindi mbichi. Amelitupa lile la kale akarudisha jingine. Naona JK hakuwa na jinsi. Angempata wapi wa kufiti hapo? ccm majangaaa
 
Gunzi ni gunzi tu. Liwe la mhindi mkavu au la mhindi mbichi. Amelitupa lile la kale akarudisha jingine. Naona JK hakuwa na jinsi. Angempata wapi wa kufiti hapo? ccm majangaaa

Kwel kabisa mkuu, we cheki mulugo ana degree ya education lakin aliyemrithi ana diploma ya education sasa hapo bora nan?
 
Kweli kawambwa ni kuku anae atamia huwa hachinjwi hata aje mkwe! Mulugo ametolewa kafara alie paswa kuchomoka ni kawambwa! Ila sijui jamaa mchawi au anawaganga stable au rais anambeba nini? Kawambwa hakupaswa tu kutolewa bali kushitakiwa kwa kuwa matokeo ya form four 2012 yalisababisha mauaji, kuna wanafunzi walijinyonga! Cha ajabu anaonekana perfect tena sana. JK ampeleke SIDO akawe mkurugenzi wa vyuma kule na si kuchezea elimu yetu na ushemeji shemeji wao hata Mungu anajua umuhimu wa elimu ndio maana tunakumbushwa "Mshike sana elimu msimuache aende zake".
 
bora angemuacha mulugo kuliko mzigo kawambwa',
 
Wakuu mzee wa division five(mulugo) hatimaye kang'oka rasmi kwenye baraza jipya la mawazir lililotangazwa na katibu mkuu kiongoz ikulu muda mfup uliopita. Pongezi kwake mkuu wa nchi kwa usikivu!!!

Kwa hiyo jamaa kibarua kishaota nyasi?
Sasa maisha yatakuaje kwake?
Yaani hata unaibu waZiri hajaukwaa?
 
tanganyika united with the irelands of zimbambwe in the year one nineteen sixty four
 
Kwa mtazamo wangu ilitakiewa wote naibu na waziri wa elimu wan'goke, kwa sababu wote ni vimeo vitupu tena mm naona mulugo alikua ana afadhali ukilinganisha na wazir wake. Na ndo maana pa moja na ukimeo wake alijitahidi kiasi chake that why mulugo alivuma sana zaidi ya wazir wake. Kuna watu wengi Hawa mfahamu waziri wa elimu kwa jina kwa sababu ame mute katika utendaji, bt mulugo he is famous kwa ka uwajibikaji kake kadogo aliko kaonesha.(kilicho mponza mulugo ni kiwango kidogo cha elimu alicho nacho)
 
Kwan si ana degree mkuu!!!
 
Masikini we mtoto wa katekista
 
shemeji kawambwaaaaaa! malizia mwaka ujao upumzke coz shemeji atakuwa amemalza mda wake
 
Problem yake alikuwa kimbelembele sana kuliko mkuu wake hata kwa vitu asivyotumwa .hatuwezi kuoendesha nchi kwa misifa.hongera mh rais kwa kufire
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…