Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
muungano wa Tanzania uliokuwa umeunganishwa na Tanganyika na zimbabwe umevunjika leo baada ya mwanzilishi wa umoja huo kupinduliwa leo na amiri jeshi mkuu wa Tanzania
muungano wa Tanzania uliokuwa umeunganishwa na Tanganyika na zimbabwe umevunjika leo baada ya mwanzilishi wa umoja huo kupinduliwa leo na amiri jeshi mkuu wa Tanzania
Wakuu mzee wa division five(mulugo) hatimaye kang'oka rasmi kwenye baraza jipya la mawazir lililotangazwa na katibu mkuu kiongoz ikulu muda mfup uliopita. Pongezi kwake mkuu wa nchi kwa usikivu!!!
Gunzi ni gunzi tu. Liwe la mhindi mkavu au la mhindi mbichi. Amelitupa lile la kale akarudisha jingine. Naona JK hakuwa na jinsi. Angempata wapi wa kufiti hapo? ccm majangaaa
Wakuu mzee wa division five(mulugo) hatimaye kang'oka rasmi kwenye baraza jipya la mawazir lililotangazwa na katibu mkuu kiongoz ikulu muda mfup uliopita. Pongezi kwake mkuu wa nchi kwa usikivu!!!
Kwa mtazamo wangu ilitakiewa wote naibu na waziri wa elimu wan'goke, kwa sababu wote ni vimeo vitupu tena mm naona mulugo alikua ana afadhali ukilinganisha na wazir wake. Na ndo maana pa moja na ukimeo wake alijitahidi kiasi chake that why mulugo alivuma sana zaidi ya wazir wake. Kuna watu wengi Hawa mfahamu waziri wa elimu kwa jina kwa sababu ame mute katika utendaji, bt mulugo he is famous kwa ka uwajibikaji kake kadogo aliko kaonesha.(kilicho mponza mulugo ni kiwango kidogo cha elimu alicho nacho)