Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
Yule mtumishi wa Mungu bwn Munishi ameweka wazi juu ya issue yake ya kurudisha gari alilopewa kama zawadi na "Nabii" wa Arusha.
Mapema week hii Munishi alikuja hadharani na kuongea kimafumbo kwamba anarudisha gari ya Geodervie sababu hataki "kufanya" anachoombwa na nabii huyo, jambo hili lilizua maswali miongoni mwa vijana wakitaka kujua Munishi kaombwa nini hiko na Nabii ambacho hataki kusema😀.
Basi Munishi ameamua kufunguka kwamba amepewa gari lakini "machawa" wa nabii wanataka aende kanisani kushukuru.