Hatimaye Munishi afunguka kuhusu gari ya Geodervie

Basi Nenda

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2017
Posts
20,774
Reaction score
47,866
Yule mtumishi wa Mungu bwn Munishi ameweka wazi juu ya issue yake ya kurudisha gari alilopewa kama zawadi na "Nabii" wa Arusha.

Mapema week hii Munishi alikuja hadharani na kuongea kimafumbo kwamba anarudisha gari ya Geodervie sababu hataki "kufanya" anachoombwa na nabii huyo, jambo hili lilizua maswali miongoni mwa vijana wakitaka kujua Munishi kaombwa nini hiko na Nabii ambacho hataki kusema😀.

Basi Munishi ameamua kufunguka kwamba amepewa gari lakini "machawa" wa nabii wanataka aende kanisani kushukuru.

 
Huyu jamaa ukiangalia kannisa lake si kubwa kivile hata waumini si wengi.

Ila anaonekana ana pesa kuanzia convoy yake na vingine vingi kama kutoa zawadi ya magari na mambo mengine
 


Mkibosho jeuri kweli🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…