Hatimaye mwaka umeisha bila ya kujichua Glory to God!!!

Hatimaye mwaka umeisha bila ya kujichua Glory to God!!!

Mechanist

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2015
Posts
724
Reaction score
494
Habari za saa hii wana MMU! Leo nimekuja mbele yenu kuwashuhudia wema ambao Mungu amenitendea. Nilipokuwa likizo mwaka juzi nilijikuta naanza kamchezo ka nyeto baadae kakaninogea but kwa bahati nzuri mwenzenu nimejifunza kumcha Mungu jambo ambalo limekuwa likipelekea napata guilty kila nikipiga pili. Kadri nilivyo kuwa nikiendelea kupiga puli ndo guilty ikawa inaongezeka hatimaye nikamwomba Bwana Yesu aniondolee hamu ya kupiga puli Kwani raha yake ni wakati unapiga lakini makinikia yakitoka unaanza juta tena kwa nini nimepiga.
Hakika Mungu ni mwaminifu alinisaidia leo mwaka umeisha japo mwishoni hapa juzi nilizidiwa hamu nikataka kupiga lakini nafsi ikanambia "acha ujinga, umewaza maliza siku hizo leo ndo unataka ujichanganye!"
Hatimaye nimeshinda, si kwa nguvu zangu wala akili zangu bali ni kwa uweza wa Yeye Aliye juu. Glory be to the Most High!
Mods naomba mnisaidie hapo kwenye heading kwenye neno pili mliondoe muweke PULI. Nimejaribu kuedit nimeshindwa
 
Back
Top Bottom