Hatimaye mwaka umeisha bila ya kujichua Glory to God!!!

Dah hongera mkuu, Mungu azidi kuwa nawe, mwenzio namcha Mungu sana lakini nimeshindwa sio kwamba hajanisaidia, ila tamaa yangu ya puli nimekuwa addicted sana, japo sasa nguvu zimenipungua kwa kuwa nna mke.
Ila usije jipongeza kwa kujihesabia siku kuwa umeshinda safari no bado sijui kama utaweza hadi mwisho wa safari, ila hiyo itakufanya uwahi kuoa, na unaweza kuchagua mke asiyekuwa mzuri kwa sababu ya nyege.
Na hapo sijui wewe una umri gani sasa?
Dhambi jiulize kwanini nafsi inakusuta pindi ukifanya hivyo...kama lingekuwq jambo la kawaida hata ungekuwa na amani nalo


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante sana mkuu. Nilichojifunza ni kwamba, si rahisi na si kujiamulia ndo waweza acha. Ni kweli waweza mcha Mungu na maandiko ukawa unayajua na ukawa mwimbaji yaani prayer warrior lakini puli ikakushinda kuacha. Unahitaji nguvu kubwa ya kutawala mawazo yako kwani yote huanza na mawazo. Binafsi namwomba sana Mungu hamu ya puli isinikaribie. Endelea kuimba wimbo wa Tenzi za rohoni namba 5, Jina la Yesu tamu, tukilisikia, hutupoza tena hamu, hutuondolea......
 
Kuna ile law of use and misuse

Haya ngoja kiishe nguvu
 
Mkuu mwaka hautoshi chaman wenzako wan confirm kutoka baada ya miaka 3
Ww kadi yako haichomwi moto utaikuta ukirejea kundini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu mwaka hautoshi chaman wenzako wan confirm kutoka baada ya miaka 3
Ww kadi yako haichomwi moto utaikuta ukirejea kundini

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi naona ni hatua kubwa nimepiga. Wakati ule nilikuwa siwezi pitisha wiki leo hii nimemaliza mwaka kwa nini nisimshukuru Mungu?
 
Hongera
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…