Ila matokeo ya mwisho yanasemaje?
Nani alikua kwake
Cystal palace wana usajili wa pesa ngapi
Kwa kifupi vijana wamejitaidi mnoo
Bravo kwao.
Exactly mkubwa ndo maana leo cystal palace wanapata pongezi sio mchezo vijana wamekaza.Wewe utakuwa ni mmoja wa wahanga wa gharika la Guardiola.....
Walipaswa kuchapwa kabisa. 14 points parefu sana na wameigeuza race kuwa jogging kwao.Angalia na usajili wao na nani alikua home.Au wamekuchania mkeka nini?joking