bryan2
JF-Expert Member
- Jun 8, 2016
- 3,323
- 4,679
Yaa tunaweza kusema mwanaume baada ya leo kumkalisha mtu ambaye amesumbua sana vijana na wazee wa pale Uingereza Msumbufu amewatandika bakora karibia wazee na vijana wote pale kwa malkia tena bakora za moto haswa.
Cystal Palace hatimaye leo ameonyesha kwamba yeye ni mwanaume tena wa shoka baada ya kumzuia mancity kuendeleza wimbi lake la ushindi na kwenda naye Suluhu ya bila kufungana.
Nusura vijana wa kocha mwenye makeke mengi Pep Guardiola waangukie pua baada ya Wanaume hao kukosa mkwaju wa tuta dakika za lala salama.
Sio mbaya makocha wakaanza kuomba ushauri kwa Roy Hodgson.