William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,761
- 2,391
Ikifika hivyo 2014 enzi za jk.
Ikashuka 2016.
Sasa imerudi kwa kasi. Au na soda zinatokea rusia?
Bila kuchukua hatua dhidi ya mfumuko wa Bei umaarufu wa Samia utashuka kwa Kasi ya 4 g
Magu atabakia na heshma zote.........Magu angekuwepo, asingeruhusu!
Nahis wafanyabiashara wanataka kujinufaisha tu, Pepsi hawajapndisha Bei za cret zao, kuna maeneo zinauzwa 500 mbna. Ila kuna maeneo maalumu Kama baa soda ni 700- 1000Ikifika hivyo 2014 enzi za jk.
Ikashuka 2016.
Sasa imerudi kwa kasi. Au na soda zinatokea rusia?
Bila kuchukua hatua dhidi ya mfumuko wa Bei umaarufu wa Samia utashuka kwa Kasi ya 4 g
Kumbe wa nyumbani aisee, niaje huko? Mbege saivi ni shilingi ngapi kwa kipimo huko?Sisi huku Rombo tutaendelea kutandika mbege tu charii yangu
Ikifika hivyo 2014 enzi za jk.
Ikashuka 2016.
Sasa imerudi kwa kasi. Au na soda zinatokea rusia?
Bila kuchukua hatua dhidi ya mfumuko wa Bei umaarufu wa Samia utashuka kwa Kasi ya 4 g
Hapo kwenye soda, wangefanya 1000/= ili kusiwe na tatizo la chenji.
Kwanza soda zenyewe magonjwaa..Ikifika hivyo 2014 enzi za jk.
Ikashuka 2016.
Sasa imerudi kwa kasi. Au na soda zinatokea rusia?
Bila kuchukua hatua dhidi ya mfumuko wa Bei umaarufu wa Samia utashuka kwa Kasi ya 4 g
Tulikubaliana tunaifungua Tanzania na kurudisha pesa mtaaani...ndo tunairudisha hivyo.
Heb mkae kwa kutulia, mnatutingisha to the point hatulambi asali vzuri.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yah...
Soda zenyewe mbaya kwa afya
Ova