Hatimaye na soda imepanda Bei Hadi 700

Hatimaye na soda imepanda Bei Hadi 700

Bob Leo wakati nafua ile kigetogeto , Kuna Bidada akaniambia Sabuni ya Unga sio nzuri kufulia Jinsi .

Akaniambia nitumie ya Kipande .

Basi bwana nikampa Dogo Buku chap aniletee Kipande

Dogo ananiletea Kipande Cha MO29 Na chenji mia mbili

Nikamuliza Hela nyingine Iko wapi??? Ananiambia wanauza mia 800 .

Nmechoka, yaan Sabuni nilinunua mwezi wa kwanza shilingi mia nne,. Leo mwezi wa nne, inauzwa mia nane .
 
Hapo kwenye soda, wangefanya 1000/= tu ili kusiwe na tatizo la chenji. Mia 3 huwa inasumbua sana. "Vita ya Ukraine hii". Hata wafanyakazi wajiandae kwa maumivu Mei Mosi.
Ikifika hivyo 2014 enzi za jk.
Ikashuka 2016.
Sasa imerudi kwa kasi. Au na soda zinatokea rusia?
Bila kuchukua hatua dhidi ya mfumuko wa Bei umaarufu wa Samia utashuka kwa Kasi ya 4 g
 
Tulikubaliana tunaifungua Tanzania na kurudisha pesa mtaaani...ndo tunairudisha hivyo.
Heb mkae kwa kutulia, mnatutingisha to the point hatulambi asali vzuri.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ikifika hivyo 2014 enzi za jk.
Ikashuka 2016.
Sasa imerudi kwa kasi. Au na soda zinatokea rusia?
Bila kuchukua hatua dhidi ya mfumuko wa Bei umaarufu wa Samia utashuka kwa Kasi ya 4 g
Nahis wafanyabiashara wanataka kujinufaisha tu, Pepsi hawajapndisha Bei za cret zao, kuna maeneo zinauzwa 500 mbna. Ila kuna maeneo maalumu Kama baa soda ni 700- 1000
 
Ikifika hivyo 2014 enzi za jk.
Ikashuka 2016.
Sasa imerudi kwa kasi. Au na soda zinatokea rusia?
Bila kuchukua hatua dhidi ya mfumuko wa Bei umaarufu wa Samia utashuka kwa Kasi ya 4 g

IMG_0821.jpg
 
Tulikubaliana tunaifungua Tanzania na kurudisha pesa mtaaani...ndo tunairudisha hivyo.
Heb mkae kwa kutulia, mnatutingisha to the point hatulambi asali vzuri.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

IMG_0843.png
 
Walokole awamu hii tunapata tabu sana.

Mbona bia hazipandi bei.
 
Cynthia Rothrock akirudi toka Hollywood atakuwa na ufumbuzi. Tulieni.

Saa hizi yupo red carpet na mini dress tayari kwa kupiga picha na kuhojiwa huku akisign autographs kidogo kabla ya kuingia theater kwa uzinduzi.

Kwa sasa kunyweni togwa.
 
Back
Top Bottom