vampire_hunter007
JF-Expert Member
- Jul 25, 2015
- 1,034
- 2,624
- Thread starter
-
- #21
Haijalishi....Bora tu niende nchi za nje.....utakuwa mwanaume wa dar sisi wa katavi mahindi yetu tunauzia zambia wewe unafuata vipodozi!
Na lori? [emoji15] [emoji15] [emoji15] wenzio tunapandaga ndege. Na lori hainogi
Ha haa basi safari njema mkuu
Mkuu huyu sio wa Daslamu, anaonekana ameleta magimbi Dar akitokea Mbeya. Huyu wa Kyela huyuWanaume wa Dar tumewachoka sasa, give us break please!
HahahahMkuu huyu sio wa Daslamu, anaonekana ameleta magimbi Dar akitokea Mbeya. Huyu wa Kyela huyu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umeniwahi mkuu, umevunja mbavu zangu anyways nipo Malaysia hapa narudi bongo keshoMada yako inanikumbusha nilivyokuwa Uchina... na tena hapo ulivyosema umechoka... nikakumbuka gadhabu moja niliyoipata nilivyokuwa japan... ila baada ya kwenda Uingereza kidooogo ikawa nafuu... ila wewe acha atu haya mambo yasikie hivi hivi... nilivyokuwa marekani we acha tu... lakini nikashangaa sana niliyoyakuta ufaransa... mpaka pale nilipoenda Ujerumani nikaona kumbe kawaida tu... siyo kama niliyoyapitia Korea... juzi tu nimetoka South Africa... ila nashukuru Mungu nipo salama Tanzania...
Acha dharau brotherWe si ndo yule jamaa uliyechota akili za majuha juzi juzi hapa?
Eniwei, wala vumbi na wapanda vibajaji wengi hawajawahi kuvuka mipaka ya Tanzania zaidi ya kwenye Twitter, Instagram, kutazama akina Kardashians, na kuangalia video za Rihanna kwenye YouTubeπππππ.