Hatimaye naenda nchi za nje, nimechoka kurushwa roho

Hatimaye naenda nchi za nje, nimechoka kurushwa roho

Mada yako inanikumbusha nilivyokuwa Uchina... na tena hapo ulivyosema umechoka... nikakumbuka gadhabu moja niliyoipata nilivyokuwa japan... ila baada ya kwenda Uingereza kidooogo ikawa nafuu... ila wewe acha atu haya mambo yasikie hivi hivi... nilivyokuwa marekani we acha tu... lakini nikashangaa sana niliyoyakuta ufaransa... mpaka pale nilipoenda Ujerumani nikaona kumbe kawaida tu... siyo kama niliyoyapitia Korea... juzi tu nimetoka South Africa... ila nashukuru Mungu nipo salama Tanzania...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umeniwahi mkuu, umevunja mbavu zangu anyways nipo Malaysia hapa narudi bongo kesho
 
Dah ... ukiwa Lusaka au Ndola au Kitwe niPM nikupe ramani[emoji4]
 
Mwanaume wa dar kweny ubora wake[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
We si ndo yule jamaa uliyechota akili za majuha juzi juzi hapa?

Eniwei, wala vumbi na wapanda vibajaji wengi hawajawahi kuvuka mipaka ya Tanzania zaidi ya kwenye Twitter, Instagram, kutazama akina Kardashians, na kuangalia video za Rihanna kwenye YouTube😀😀😀😀😀.
Acha dharau brother
 
Back
Top Bottom