Hatimaye nafunga ndoa, hakika huyu binti anastahili kuolewa

Ewe kijana usioe
 
Hatari na nusu...
 
Kila la kheri mkuu,naamin huyo hatabadilika maana kapitia misukosuko mingi na naona anajua anachokitafuta

Na pia anajua maisha yanavyopiga

Ila hata siku moja usije ukaamin mwanamke anaweza kukupenda zaidi ya kupenda hali yako ya kimaisha
Ni kweli mkuu, lakini naona alinipenda tokea Niko kapuku baada ya kumaliza chuo nilipitia kipindi kigumu nadhani njiwa angekua ameshapeperuka, Mimi sina maisha yote Japo na mipango yangu naona itakamilika nikiwa nae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…