Hatimaye NBAA wafunguka sasa on NEW SYLLABUS

Kuna mambo humu yananichanganya aisee hizo pepa sita tunafanya once?? Cc MTAZAMO
 
Last edited by a moderator:
Kuna mambo humu yananichanganya aisee hizo pepa sita tunafanya once?? Cc MTAZAMO

Wamekupa option ya kufanya pepa upendavyo hata moja moja....na sasa wanaruhusu kurekodi kila unalofaulu ila lazima umalize hiyo stage within 3 years otherwise unafutiwa masomo yote uliyofaulu na kuanza upya stage yote.After six years ukishindwa kumaliza hiyo stage unakuwa deregistered.......
 
hapo wameweka wepesi kidogo hii inapunguza mzigo wa kubeba masomo mengi kwa wakati mmoja
 
Umeona eeh na ada ya tuition hapo itapungua for now i better go for two subjects per term.. nimefurahi walipoamua kurecord kila somo tofaut na previous one.
 
Wamekupa option ya kufanya pepa upendavyo hata moja moja....na sasa wanaruhusu kurekodi kila unalofaulu ila lazima umalize hiyo stage within 3 years otherwise unafutiwa masomo yote uliyofaulu na kuanza upya stage yote.After six years ukishindwa kumaliza hiyo stage unakuwa deregistered.......

Shukrani mkuu atleast i have peace of mind nlikuwa nawaza rashidi nimlipe laki sita na uchafu bodi nako wamepandisha nabado pepa likutende teh teh...

Ngoja nianze na miteremko Public finance n tax pamoja financial Accounting...

Hizo nyingine hasa Financial management itakuwa ya mwisho i used to hate hili somo i wish lingekuwa exempted.
 
mjue pia ukikamatwa moja unarudia na lingine ulilofaulu, mfano ukifanya mitano ukafaulu minne ukakamatwa moja utafanya ulilokamatwa na lingine moja
 
nataka kufanya pepa za bodi kwa cheti cha form four vip wadau vigezo gani vinahitajika cc MTAZAMO
 
mjue pia ukikamatwa moja unarudia na lingine ulilofaulu, mfano ukifanya mitano ukafaulu minne ukakamatwa moja utafanya ulilokamatwa na lingine moja

Khee kama nikifanya pepa mbili nikakamatwa moja so nitarudia zote 2 ?
 
EXACTLY, ukifanya sita ukakamatwa moja au mbili, utafanya ulizokamatwa na moja uliyofaulu utakayochagua. KOMAA MKUU.

Hadi sasa tumefika 5645 toka mwaka 1975 ukitoa waliokufa, kuhama nchi, kufungiwa au kuacha kazi ya uhasibu tunabaki kama elfu nne
 
Shukran it was just matter of time nitaipata tu
 
hv mtu anaweza kuappeal khs matokeo yanayotolewa mfano unaona kuna somo hukutebdewa haki?
 
Back
Top Bottom