Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
Baada ya mkali wa bongofleva Africa na duniani kwa ujumla kuachia ngoma ambayo ilionekana kupondwa Sana na wadau wa muziki hapa mjini Tanzania.
Lakini usichokijua ni kwamba ngoma hi # UNACHEZAJE# ndan ya siku moja imefanikiwa kuingia kwenye playlist kubwa ya nyimbo Kali za week Duniani
#UNACHEZAJE by diamondplatnumz has been added to @audiomack Africa verified playlist best of the week
Fact, ifike mahali tuheshimu kazi zinazofanywa na wasanii. Tanzania wimbo unapondwa but abroad wimbo unakiwasha[emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji378][emoji378][emoji378][emoji378][emoji378]