Hatimaye ngoma ya UNACHEZAJE ya Diamond yaingia kwenye playlist kubwa duniani

Hatimaye ngoma ya UNACHEZAJE ya Diamond yaingia kwenye playlist kubwa duniani

Baada ya mkali wa bongofleva Africa na duniani kwa ujumla kuachia ngoma .....ambayo ilionekana kupondwa Sana na wadau wa muziki hapa mjini Tanzania.

Lakin usichokijua ni kwamba ngoma hi # UNACHEZAJE# ndan ya siku moja imefanikiwa kuingia kwenye playlist kubwa ya nyimbo Kali za week Duniani

#UNACHEZAJE by diamondplatnumz has been added to @audiomack Africa verified playlist best of the week

Fact.....ifike mahali tuheshimu kazi zinazofanywa na wasanii.....Tanzania wimbo unapondwa.....but abroad wimbo unakiwasha[emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji378][emoji378][emoji378][emoji378][emoji378]
View attachment 2048768
Haimanishi kwamba hii nyimbo ndo nzuri,tunajua nyimbo nzuri za diamond lkn sio hii...hii ni km ile ya PSY Mr Gangnam Style

Tatizo lugha anayoitumia diamond tunaielewa ndo maana nyimbo zingine tunazoona mbovu,huko kwingine wanafata midundo na melody tu
 
Back
Top Bottom