dictator cha pombe
JF-Expert Member
- Mar 5, 2018
- 260
- 259
uyo max mello ushawai kumsikia hata akighani nyimbo ya mr nice??Sky walker kwani na yy anaimba???
Jamaa kitambo enzi za RFA niliwahi sikia nyimbo zakeSky walker kwani na yy anaimba???
Nikki wa bila ndo nani huyo?Yeah!
Wale paka na panya wa HIP HOP ya bongo Nikki mbishi a.k.a babu bombo wakutana uso kwa uso na Nikki wa pili katika COLLABO inayoitwa BASATA
Wakali hao wa music bongo ambaye kila mmoja amekuwa akimtambia mwenzake na kufanya kutokea kwa beef kati yao na kuwahi kutupiana maneno kuwa hawana chemistry ndyo maana hawafanyi ngoma Leo tutawasikia katika hiyo ngoma
View attachment 707743View attachment 707744View attachment 707744
Hakajui kitu hakoKati ya wanaojiitaga 'hip hop emcees' nisiowaelewa ni huyo the so called NIKKI WA PILI.
Huwa sielewi anarap nini.
-Kaveli-
Ingia kwa DJ mwanga!
!
Hii ngoma inapatikana wapi? Tuinyonye kabisa kabla hawajaifungia
Maana hawa basata hasara tupu yani
Ndyo mmeoNikki wa bila ndo nani huyo?
Ndyo mmeozaNdyo mmeo
Ingia kwa DJ mwanga
kaanza lini kuimba home boy ......he is a lawyer sio artistJebra kambole
Ingia kwa DJ mwanga
Kaka ndyo unatoka Leo but itakuwa haujawa released!
!
Kaka nimeutafuta mno huo wimbo bila mafanikio. Naomba link au angalau uattach hapa niushushe