Hatimaye Nikki Mbishi na Nikki wa Pili wafanya 'collabo'

dictator cha pombe

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2018
Posts
260
Reaction score
259
Yeah!
Wale paka na panya wa HIP HOP ya bongo Nikki mbishi a.k.a babu bombo wakutana uso kwa uso na Nikki wa pili katika COLLABO inayoitwa BASATA

Wakali hao wa music bongo ambaye kila mmoja amekuwa akimtambia mwenzake na kufanya kutokea kwa beef kati yao na kuwahi kutupiana maneno kuwa hawana chemistry ndyo maana hawafanyi ngoma Leo tutawasikia katika hiyo ngoma

Inst-image-5.jpeg
Inst-image-7.jpeg

View attachment 707743View attachment 707744View attachment 707744
Nikki wa bila ndo nani huyo?
 
Huyo max melo ni huyu founder wa jf??
Na yeye ni msanii??
 
Hii ngima niidownload mapemaa maana basata kwa akili zao wanaweza kuifungua fastaa
 
Nikki wa pili hana lolote, wajinga wajinga ndio wanaompa kichwa, sijui huwa anarap nini!!
 
Back
Top Bottom