Hatimaye Nikki Mbishi na Nikki wa Pili wafanya 'collabo'

Hatimaye Nikki Mbishi na Nikki wa Pili wafanya 'collabo'

Huyo mwenye baraghashee na yeye ni MC wa wapi, Pemba?
 
Maemcee wenyewe wamechokaa! Labda walikuja hapo kwa miguu, kwanini wasitafute kazi ya maana? Wanatafuta sababu wamlaumu Ruge tu.
 
Sio wimbo ila ilikuwa ni discussion kuhusu mwenendo wa basata na athari zake kwa tasnia ya muziki
 
Yeah!
Wale paka na panya wa HIP HOP ya bongo Nikki mbishi a.k.a babu bombo wakutana uso kwa uso na Nikki wa pili katika COLLABO inayoitwa BASATA

Wakali hao wa music bongo ambaye kila mmoja amekuwa akimtambia mwenzake na kufanya kutokea kwa beef kati yao na kuwahi kutupiana maneno kuwa hawana chemistry ndyo maana hawafanyi ngoma Leo tutawasikia katika hiyo ngoma

View attachment 707743View attachment 707744View attachment 707744
Huyo Niki wa pili na huo ufupi alitakiwa asimame au akae mbele, wasanii gani kupiga picha hawajui? Hapo wanaonekana km wapambe au wamesindikiza Picha ya FidQ.
 
Back
Top Bottom