Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kumbe ulikua hutak mshirikna na asie bikra si ungesema tu kwa ufupi....Mungu atamleta tu, sasa unanishauri nioe mshirikina, au asiye na bikira?
hapana vigezo vingi sanaKwanini au kwakuwa sijasema awe mchaga
Awe na bikra, please isiwe artificial, iwe natural
Kwa iyo huyo wa kukutunzia wewe wakati chako ulikitumia kwa certain advantage nani kwa mfano, shame on youAtambue nshatembea na mwanamke anayenizidi umri, nimetembea naye kwa wiki mbili, ila nimemuacha baada ya kufanikiwa nilichotaka
Hahahahahahahaha! Jaman umenichekeshaUsisahau kuwa hapa bado tuko duniani ila nashangaa wewe umetoa vigezo vya mbinguni, kwa vigezo hivyo kurudi tena kwenye stress inakuhusu![emoji1]
Poa jitahidi wapo.Nataka mchumba ambaye baadae atakuwa mke, Baada ya kumaliza stress za kupata kazi na kutulia nimeona nivema nipate mwenzangu kama mchumba sasa hivi ili tuandaane kwa miez isiyopungua 10 mpaka ndoa,
Nimeseti vigezo vya kumpata Mke lakin naona kama vile sitampata, nishaurini nipunguze vipi niongeze vipi am serious,
Sifa
1. Awe na umri 23<
2.mwenye elimu isiyozidi diploma , wa degree wanasumbua sitaki ligi Nyumban kwangu maana wanajifanya wajuaji sana,
3. Asiwe ana dalili za kusoma sheria uko nyuma, waliosoma sharia wasumbufu
4. Awe mkristo.
5. Awe muhaya, au msukuma. Au awe karagwe hawa ninwastahimilivu
6. Awe na passport ya kusafiria kama hana basi awe na uwezo wa kuipata
7. Awe na bikra, please isiwe artificial, iwe natural
8. Awe na uwezo wa kujishughulisha hata nikifungua biashara iwe rahisi kuendesha
9. Awe msafi,
10. Ajuae mapishi,
11. Awe tiyari kuishi nje ya Tanzania,
12. Atambue nshatembea na mwanamke anayenizidi umri, nimetembea naye kwa wiki mbili, ila nimemuacha baada ya kufanikiwa nilichotaka
UMBO NA MWONEKANO
1. Awe angalau na urefu unaoridhisha
2. Awe maji ya kunde ,
3. Awe mwenye vi hips sitaki mbawa
4. Asiwe mwenbamba sana,
5. Awe natural sitaki mawigi ya Brazil mi au Russian,
6. Asiwe anatumia mkorogo kabisa yan.
7. Asiwe na kifua kikubwa kama wanyanyua nondo I mean asiwe na maziwa yaliyopitiliza,
MAHUSIANO NA NDUGU
1. Awe tiyari kuwapenda marafiki zangu na ndugu maana bila wao nisingefika hapa,
2. Awe tiyari kuwaheshimu wazazi Wangu na kufuata kila watakachosema, na pengine kushauriana nao kwa heshima kama kuna jambo La kurekebishana,
3. Awe tiyari kusaidia wasio jiweza , kama kwenye vituo vya watoto yatima, wazee , wajane na wenye matatizo yaliyo ndani ya uwezo wetu,
4. Awe tiyari kuwaheshimu ndugu na wazazi wake pia na kutambua kuwa ndio walimlea ,
5. Ajumuike kwenye shughuli za jumuiya mbalimbali
6. Asiwe mpenda siasa na vyama vya siasa kupitiliza , Mara hapa kazi tu sijui ngangari , sijui UKUTA, hayo sitaki
IMANI NA MUNGU
1. hasiwe mshirikina
2. Ajue kusoma biblia na kwenda kanisani maana ndo sehem ya kupatia baraka za mungu ,
AFYA
1. Awe tiyari kupima kaswende, Gono, UKIMWI, kizazi, Na magonjwa ya asili,
Naomba mnishauri nipunguze kigezo gani? Maana nimetumia vigezo hivi yan vimezidi hata eligibility criteria za kujiunga UDSM nipunguze kipi maana nimetumia hivyo nahisi kila nayemuona hafai,
Pia naomba kujua naweza pata mchumba au Mke jf akafaa?
Kwa mawasiliano ni PM serious issue
Nadhani wewe kijana utakuwa na ugonjwa wa akiri unao itwa insomnia ila hujijui,nakushauri nenda kamuone Dr mapema kabla hujawa mwendawazimu kabisa.Nataka mchumba ambaye baadae atakuwa mke, Baada ya kumaliza stress za kupata kazi na kutulia nimeona nivema nipate mwenzangu kama mchumba sasa hivi ili tuandaane kwa miez isiyopungua 10 mpaka ndoa,
Nimeseti vigezo vya kumpata Mke lakin naona kama vile sitampata, nishaurini nipunguze vipi niongeze vipi am serious,
Sifa
1. Awe na umri 23<
2.mwenye elimu isiyozidi diploma , wa degree wanasumbua sitaki ligi Nyumban kwangu maana wanajifanya wajuaji sana,
3. Asiwe ana dalili za kusoma sheria uko nyuma, waliosoma sharia wasumbufu
4. Awe mkristo.
5. Awe muhaya, au msukuma. Au awe karagwe hawa ninwastahimilivu
6. Awe na passport ya kusafiria kama hana basi awe na uwezo wa kuipata
7. Awe na bikra, please isiwe artificial, iwe natural
8. Awe na uwezo wa kujishughulisha hata nikifungua biashara iwe rahisi kuendesha
9. Awe msafi,
10. Ajuae mapishi,
11. Awe tiyari kuishi nje ya Tanzania,
12. Atambue nshatembea na mwanamke anayenizidi umri, nimetembea naye kwa wiki mbili, ila nimemuacha baada ya kufanikiwa nilichotaka
UMBO NA MWONEKANO
1. Awe angalau na urefu unaoridhisha
2. Awe maji ya kunde ,
3. Awe mwenye vi hips sitaki mbawa
4. Asiwe mwenbamba sana,
5. Awe natural sitaki mawigi ya Brazil mi au Russian,
6. Asiwe anatumia mkorogo kabisa yan.
7. Asiwe na kifua kikubwa kama wanyanyua nondo I mean asiwe na maziwa yaliyopitiliza,
MAHUSIANO NA NDUGU
1. Awe tiyari kuwapenda marafiki zangu na ndugu maana bila wao nisingefika hapa,
2. Awe tiyari kuwaheshimu wazazi Wangu na kufuata kila watakachosema, na pengine kushauriana nao kwa heshima kama kuna jambo La kurekebishana,
3. Awe tiyari kusaidia wasio jiweza , kama kwenye vituo vya watoto yatima, wazee , wajane na wenye matatizo yaliyo ndani ya uwezo wetu,
4. Awe tiyari kuwaheshimu ndugu na wazazi wake pia na kutambua kuwa ndio walimlea ,
5. Ajumuike kwenye shughuli za jumuiya mbalimbali
6. Asiwe mpenda siasa na vyama vya siasa kupitiliza , Mara hapa kazi tu sijui ngangari , sijui UKUTA, hayo sitaki
IMANI NA MUNGU
1. hasiwe mshirikina
2. Ajue kusoma biblia na kwenda kanisani maana ndo sehem ya kupatia baraka za mungu ,
AFYA
1. Awe tiyari kupima kaswende, Gono, UKIMWI, kizazi, Na magonjwa ya asili,
Naomba mnishauri nipunguze kigezo gani? Maana nimetumia vigezo hivi yan vimezidi hata eligibility criteria za kujiunga UDSM nipunguze kipi maana nimetumia hivyo nahisi kila nayemuona hafai,
Pia naomba kujua naweza pata mchumba au Mke jf akafaa?
Kwa mawasiliano ni PM serious issue
Yaan hapo kwenye bikra wapatetea sana wewe whyJaman kweli duniani kuna mambo.. ongeza hapo awe hajawahi kuishi duniani maana ni balaa..
Kwani wasio na bikra wote ni washirikina??
Too much,ungekuwa unakwenda kanisani kweli kama ulivyoandika ungejua moja tu mke mwema anatoka kwa Mungu.
Mwombe Mungu yeye atakuongoza kupata mke ambaye ataendana na wewe maana yeye anajua mwisho tangu mwanzo wetu.
By the way best of luck,uje utualike humu ndani jaman ukishampata...