William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,400
Dakika tano zilizopita nimefanikiwa kupata dataz za ukweli 100% kuwa kweli Balali, amefariki napenda kutoa pole kwa ndugu,
According to the dataz amefia Winsconsin State, katika Hospitali moja kwenye kitongoji cha mji wa Madison,
Na the more dataz ni kwamba kabla hajafa, alikuwa na masaa kama 24 ya siri kwa mazungumzo na Mbunge Mkono.......,
Mazishi ni kesho DC, nitarudi baadaye kwa dataz zaidi!
Ahsante Wakuu, na Mods Mnaeza kuiunganisha hii ikiisha expire!
Mkuu ES,
Umehongwa au umetishiwa na JK kwi kwi kwi!!!
Sisi tunaoamini kwenye conspiracies hatuwezi kuamini kitu!
Hivi kumbe kuna watu walikuwa hawajaamini, makubwa!!
Ok.. ngoja niingilie kati kabla halijaenda mbali na kuwapa Exclusive News tena:
a. Balali amefia nyumbani kwake Georgetown, karibu kabisa na hospitali ya Chuo Kikuu cha Georgetown. Amefia nyumbani siyo State ya Wisconsin.
b. However hospitali hiyo upande wake mmoja kuna mtaa wa Wisconsin.
c. Mtaa wa Wisconsin ndiko iliko nyumba ya maziko ambako mwili wake umehifadhiwa. Hivyo siyo State ya Wisconsin.
Balali amefariki na mipango ya mazishi iko vile vile kama nilivyowahabarisha jana. Kitu ambacho naweza kukisema kwa uhakika wa asilimia 100 hadi sasa ni kuwa hakutakuwa na kuuangalia mwili. Familia na jamaa wa karibu waliuona mwili siku ya Jumanne usiku na kesho ni misa tu ya marehemu.

Hii ya kukataa kuonyesha mwili kama kweli kafa familia inafanya bonge la mistake.Litafuel speculations zaidi kwamba jamaa kacheza Makaveli.Anawauzia watu mbuzi kwenye gunia kanyaboya style.