Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ok.. ngoja niingilie kati kabla halijaenda mbali na kuwapa Exclusive News tena:
a. Balali amefia nyumbani kwake Georgetown, karibu kabisa na hospitali ya Chuo Kikuu cha Georgetown. Amefia nyumbani siyo State ya Wisconsin.
b. However hospitali hiyo upande wake mmoja kuna mtaa wa Wisconsin.
c. Mtaa wa Wisconsin ndiko iliko nyumba ya maziko ambako mwili wake umehifadhiwa. Hivyo siyo State ya Wisconsin.
Balali amefariki na mipango ya mazishi iko vile vile kama nilivyowahabarisha jana. Kitu ambacho naweza kukisema kwa uhakika wa asilimia 100 hadi sasa ni kuwa hakutakuwa na kuuangalia mwili. Familia na jamaa wa karibu waliuona mwili siku ya Jumanne usiku na kesho ni misa tu ya marehemu.
Haya nendeni mkazike gogo, uliona wapi watu wanakatazwa kuangalia mwili? Hata kama mwili umeharibika bado wanaonyesha sehemu ndogo tu ya sura.
Mimi hapo bora nimesema, hata kama nitabaki peke yangu, jamaa hajafa.
jamani haya watu wanayofikiri ku fake kifo hayawezekani marekani na wala sikumbuki kuwahi kuyasikia kutokea marekani...ni rahisi ku fake kifo AFRIGHANISTAN...ambako hata magaidi walio huko hu fake kifo ili wasipatafutwe ..hali wamejificha mapangoni!

Hivi ukifia nyumbani basi hupelekwi hospitali tena? Nani watatoa death certificate?
Kama amekufa basi hiyo hospitali karibu na kwake inatakiwa wawe na habari za kifo chake.
jamani haya watu wanayofikiri ku fake kifo hayawezekani marekani na wala sikumbuki kuwahi kuyasikia kutokea marekani...ni rahisi ku fake kifo AFRIGHANISTAN...ambako hata magaidi walio huko hu fake kifo ili wasipatafutwe ..hali wamejificha mapangoni!
Mambo yote kesho DC mpaka kieleweke!
..kitaeleweka mkiiona/ikionekana maiti!