Hatimaye Nime-Confirm Kuwa Balali Amefariki!

Hatimaye Nime-Confirm Kuwa Balali Amefariki!

Status
Not open for further replies.
Basi kama hayo ndio maoni yako then waombe waungwana waufunge mjadala.

they have every right kuendeleza mjadala as long as they are spending their energy am ok with mjadala kuendelea !
in the first place, hii thread haikutakuwa even kuexist, maana nothing new in here na kinachoonyesha ni puppets wengi tu every now and then kuproove kwamba wao ni wababaishaji na puppets !

mzee mushi, can you tell me one NEW thing in this thread ambacho hakijawa posted kwenye previous threads kuhusu kifo cha ballali??

but for the mean time, lets keep the ball rolling !
 
Mkuu Wangu Mushi, huu chini ni ushahidi wangu mzito sana kuwa nilikuwa ninajua ninachopkisema kuhusiana na hii topic, na kwa sheria za US kwenye Freedom Of Speech, unaweza kwenda Hospitali yoyote ile ukadai uambiwe ni watu wangapi wamekufa jana au leo, kwa kuwekewa sumu wataruka na kucheza lakini in the end wataishia kusema tu, ingawa wanaweza wasikupe jina kamli, lakini kwa mchunguzi kama mimi hiyo tu inatosha, ninamesema kuwa Balali hakuwepo Boston na tayari imethibitishwa kuwa hakuwepo huko kama nilivyosema, lakini ninachoona ni mazungumzo mengi ya baada ya habari, hayo siwezi kuwazuia lakini ninasema hivi hoja yangu ya msingi nimeithibiitisha na hizi dataz hapa chini,

Kama kuna wenye matatizo na dataz zangu, basi waende na kwenye magazeti yanayokubalika na taifa kama This Day, wawaaambie wasiweke dataz zangu tena, maana ukiona magazeti makubwa ya dunia kama hayo yanaweka dataz zako basi ujue hizo dataz ni nzito sana, kwa hiyo ninaomba niwaambie hawa the so called maadui zangu wapya na wa zamani kuwa sisi as far as mchezo wa dataz tuko kwenye level ya taifa sio tu hapa JF, isipokuwa kwenye hii topic nimeamua kuwa sitaweka dataz tena za kifo cha Balali kwa sababu nisingependa kuendelea na kuwasononesha ndugu wa marehemu ambao wengi ni marafiki zangu wa karibu sana toka nikiwa mdogo, na sina sababu yoyote nyingine,

Na nitaendelea kuweka vitu hapa na kwenye taifa hakuna anyeweza kunitisha wala kunifanya lolote, na atakayejaribu ninamhakikishia kuwa mvua yangu itamnyea na hatakaa aamini kuwa ni keli yatakayomkuta, watu wazima hatutishiani nyau, nimeweka dataz na wewe weka dataz kuliko zangu, lakini filimbi haziwezi kugeuza uwkeli ukawa uongo, kwa hiyo Mkuu Mushi heshima mbele, na ninaamini kuwa hivi vilio vingi ni kwa sababu tu nyani amepigwa usoni kisawa sawa, otherwise huu mjadala naona ndio kwanza umeanza ngoja nile ano sahani moja!

Ila tu wasisahau kurudia kusoma hapa chini:-

1.
Quote:- Internet

Senator Kennedy, cancer diagnosis/Brain cancer, admitted at Mass. General Hospital in Boston. Out of the the hospital, his doctors are weighing Chemotherapy and Radiation Treatments. No futher annoucemment.

source: Mass. General Hospital, Boston Massachusetts State.

2.
Quote: Internet

According to a death certificate first obtained in the internet iconic actor Charlton Heston's official cause of death was pneumonia.

According to his death certificate, a public document, Heston's immediate cause of death was pneumonia. In 2002, the actor acknowledged he suffered from Alzheimer's.
 
Hatimaye Nime-Confirm Kuwa Balali Amefariki!

Dakika tano zilizopita nimefanikiwa kupata dataz za ukweli 100% kuwa kweli Balali, amefariki napenda kutoa pole kwa ndugu,

According to the dataz amefia DC, nyumbani kwake ghafla Jumapili usiku.........!

Na the more dataz ni kwamba kabla hajafa, alikuwa na masaa kama 24 ya siri kwa mazungumzo na Mbunge Mkono.......,

Mazishi ni kesho DC, nitarudi baadaye kwa dataz zaidi!

Ahsante Wakuu, na Mods Mnaeza kuiunganisha hii ikiisha expire!

The Following 30 Users Say Thank You to Field Marshall ES For This Useful Post:
Alnadaby (23rd May 2008), AMETHYST (23rd May 2008), araway (23rd May 2008), Augustoons (23rd May 2008), Bubu ataka kusema (22nd May 2008), Bubu Msemaovyo (23rd May 2008), choveki (23rd May 2008), COMRADE44 (23rd May 2008), fidel80 (23rd May 2008), Heraclitus (23rd May 2008), ibambasi (23rd May 2008), Invincible (23rd May 2008), kamakabuzi (24th May 2008), kamonga (23rd May 2008), Kinyamana (23rd May 2008), Kocha (23rd May 2008), korosho (23rd May 2008), Kuntakinte (22nd May 2008), lazydog (23rd May 2008), M-bongo (23rd May 2008), Mkandara (22nd May 2008), Mtanzania (22nd May 2008), mwafrika wa kike (22nd May 2008), nhonyaane (23rd May 2008), Nurujamii (23rd May 2008), Nyangumi (22nd May 2008), ochu (23rd May 2008), Tanzania 1 (23rd May 2008), Typical (23rd May 2008), Yebo Yebo (23rd May 2008)

Mkuu Mushi,

Mkuu mushi, tizama unafiki wa mkuu flani hapa, aliyekuwa akilalalmikia wengine kupewa thanks, angalia kwenye mistari ni yeye huyo huyo mnafiki mkubwa, halafu anaongelea heshima kama vile anaijua maana yake!
 
Mkuu FMES!

Kwa heshima na taadhima nakuomba uachane na hao jamaa kwenye haya masuala....jamaa hawana dataz na hata hizo kauli zao hazieleweki na inaelekea malengo yao ni kukuudhi na/au kujaribu kukupunguzia na hatimaye kukufutia credibility yako.......wapo wengi humu ambao wana uwezo wa kuchambua pumba na mchele!
 
Usiwe na wasi wasi everything is under control, ila hii ndio tunaita kumkoma nyani giladi mkuu, kumbuka kuna wanaolia kuwa wanaogopa kuburuzwa, ukilala tu wanakuburuza wewe, lakini nimekusikia mkuu!

Wewe najua ni mtoto wa mjini, si unajua mtoto akilia wembe mkuu!
 
FMES,
mkuu hakuna kitakacho badilika kwenye hii thread, yaliyopita si ndwele bali tugange yajayo....mengi yamesemwa hapa na kila mtu ana perception yake, kila mtu ana uamuzi wa chepi ni mchele na chepi ni pumba!! hapa ni kama vile umependa daladala ktk jiji la Daslam....kuna personalities tofauti tofauti!!! haya ndio mapambano ya kifikra @ its best.....bwege Bush wa America mpaka leo anasema na kuamini kwamba Iraq ya Saddam ilikuwa na WMD's......go figure!!! sometimes ni bora kuwa very calculated ukijikuta kwenye kona tena gizani na baadhi ya jamaaz hapa...unaweza toka na manundu bwena, ukabaki unajitamba kuwa umetoa maumivu kumbe ni kinyume chake....chagua battles careful kwani hii forums imekuwa kubwa sana!! moja ya tatizo letu wabongo ni ku-underestimate vitu na watu!! nakushauri mara moja moja uwe unafanya "hit and run" au "drive by shooting," ukitaka kuwa Clint Eastwood hapa ni sawa na impossible!. nadhani umenipata....hakuna winner or loser ktk hii thread miongoni mwetu kwani kuna unknowns unknown ambazo labda hatutazijua anywayz......asante na siku njema.

NB: ktk boxing mshindi hapatikani kwa wingi wa ngumi alizorusha, bali ni zile zilizo-land na sehemu zilizo-land na damage iliyofanyika.......maneno mingi hayafanyi ubwabwa ukaiva!!
 
Mi hata sijui watu mnabishana nini kwenye hii thread. Y'all have lost me.....
 
Mi hata sijui watu mnabishana nini kwenye hii thread. Y'all have lost me.....

madness na kutokukubaliana kuto kukubaliana.......kama alivyojisemeaga MKJJ, "ushindi ni lazima." well, I don't know...madness!!
 
Unajua ni ujuha sana kubadili majina lakini ukashindwa kubadili maneno, mkuu Sam toka uanze na majina yako imefikia mahali ni aibu, ninajaribu sana kukuwepa kwa sababu zote unazijua, na majuzi tu ukitumia jina lako la Chief umenitumia PM ukiomba msaada, halafu wewe tena una maneno haya? Hivi nikwambie lugha gani mkuu ili uweze kuachana na mimi na familia yangu? Inaelekea maneno ya thanks yanakuumiza sana na umaarufu wa watu hapa ambao wewe umeulilia lakini umeshindwa kabisa kuupata hapa na majina ayko yote karibu 50, wewe unajua heshima wewe juha? Eti unajua maana ya binadamu kuheshimika wewe? Wewe unajua maana ya heshima? Ulifikiri unanidanganya na hili jina kwamba sijui wewe ni nani? Mkuu usinichezee na hasa kuhusu heshima nitaweka mambo yako hapa JF uaibike wewe, yale maneno uliiyoyaandika kuhusu Ipyana, kwa jina la Achebe, ninayo mkuu na nilishayafikisha tayari, the day is coming very close hutaamini kinachokuja, now shut up!

Wakuu wengine huko juu nimewasikia, na ninawatakia mafanikioa makubwa hapa JF, ila mimi ndiye Field Marshall ES original na sina wasi wasi na shallow minds hata siku moja, kama mlivyoji-display hapo na maneno yenu na majina yenu, mimi huwa ni jina moja tu na huwa ninaweka vitu vizito, hapa tuna demokrasia ya kweli, yaani kukubali ya mwingine na kukataa ni kawaida, ila huwa tunaktaa kwa hoja na sio upumbavu, hapa JF hajwahi mtu kulazimsihwa kukubali au kukataa, isipokuwa tu ni magi magoi wa akili ndio huwa kazi kulia lia huku wakiwa hawana ukweli, hoja, facts wala dataz, I am not impressed na hizo njama zenu kwa sababu kwenye hoja nzito mmeshindwa, tena kwa aibu kubwa sana, sasa naona mnajaribu kutafuta remedy kwa njia tofauti na zinazokubalika hapa JF, za hoja kujibiwa kwa hoja, naona sasa mnaleta viroja,

Unajua niliwahi kukaaa sana Kinshasa Kwa kilingala, mimi ninaitwa...." Kokobanga na kokobanga wa kokobanga" yaani Muzee wa Bazeee na wa Bakulutu kwa hiyo karibuni hapa JF tuendele kukata ishus, kuhusu kifo cha Balali, nimetoa dataz za kutosha na nimeamua kuacha na hamuwezi kufanya anything zaidi tu ya kulia lia, mimi siwezi kwenda kumpigia mtu picha hapa, nikupe dataz halafu nikakupigie picha? Ila punguzeni kulia lia kama watoto wa dogo hapa JF ni ya watu wazima.

Ahsanteni Wakuu na Nimewasikia, I hope mmenisikia pia! Lakini hata siku moja hamnistishi wala siwaogopi hata muwe watu millioni moja nitaendelea kuwapiga kwa dataz na hoja nzito!

Asante sana field, kama hii post ni majibu ya hii ya kwangu ya kuomba watu kuacha kulumbana, (na kuto kukutaja jina lako) basi naomba nikwambie kuwa you are soo very wrong with what you are thinking of me... am not SAM na hata kama ningekuwa ni yeye nigetamka hapa leo

Sina nia ya kuanza kuingia katika malumbano yako ambayo toka nimeanza kusoma nimegundua ni mtu usie taka kuambiwa ukweli, ni mtu unae dhani unawajua watu humu.... hutaki kuhojiwa...ni mtu mwenye jazba.. jazba halijengi kaka...

wewe usifikiri hii site ni yenu tuu mnaojuana kila mtu anauwezo wa kuingia hapa na kuchangia yake...

kwa kukusaidia tu mimi siitwi Sam na simjui na sita badili hili jina nililoanza nalo, nasikitika sitakutajia jina langu kwa sasa, ninaishii dar, niko hapa kw ania moja ya kumkoma nyani, na si kurushiana maneno, nitakutumia namba yangu ya simu (kama utaihitaji) kwenye PM yako ili uelewe kni kiasi gani umekosea.

kingine ningependa kukwambia, ungetulia tuu achana na haya mambo ya kutaka kubishana (maana binadamu hawezi kuwa right siku zote, au kuongea mambo yakakubalika na wote siku zote) na kila mtu maana watu wataogopa kujiunga hapa, watakuwa hawasomi post zako, (watajudge wakiona jina tuu kabla ya kusoma),na maana mzima ya JF inachafuka
 
Hatimaye Nime-Confirm Kuwa Balali Amefariki!

Mkuu Mushi,

Mkuu mushi, tizama unafiki wa mkuu flani hapa, aliyekuwa akilalalmikia wengine kupewa thanks, angalia kwenye mistari ni yeye huyo huyo mnafiki mkubwa, halafu anaongelea heshima kama vile anaijua maana yake!
Mimi ni mgeni hapa,kwa kweli wewe Mkuu ni mgomvi!au jamiiforums ndo kawaida yenu?yaani kitendo cha kwenda "kukoti"Thanks na kutafuta wabaya wako ni ajabu kweli!pia kitendo cha kutuhumu watu wanabadili majina sio vizuri!kila siku naamini watu wanajiunga hapa!pia kusema unaonewa wivu this is nonsenses kwa kweli!Mkuu jirekebishe let us discuss ideas na sio kutafuta kila siku wanafiki as you call them!As far as i know "Stupid minds ndo zinadiscuss events kwa mfano ilikuwa hivi fulani hivi!Kweli kama ndo hivi WATANZANIA TUTAFIKA KWELI?kumuita mtu mnafiki pindi anapokuwa hakubaliani na mawazo yako why this?let us chill kwa furaha tuelimishane na kupendana ili tuikomboe nchi yetu kutoka katika umaskini na matatizo mengine!Kwa kweli im sad na majibizano yasiyokuwa na maslahi katika Taifa letu!kubali kuwa challenged!we are humanbeings hivyo we are not perfect!Tusikubali kuendekeza ujinga wa kuitana wanafiki!kama ni UNAFIKI sisi sote ni wanafiki maana badala ya kudiscuss ideas tunaanza kurumbana sisi kwa sisi!
Nawasilisha NG'WALU!
 
Nawe utaambiwa ni SAM alie badili jina

Kwanza kunamtu hapa JF anaepewa Thanks kama MWkjj??? ina maana ndio anaongea points siku zote?? lkz kuna siku anachemsha yeye ni binadamu, kwanza wengi tuu walikuwa walumbana nae kwann yeye ndo aanza kuwa mkali?? ok sasa ndo tuseme hataki pia kuambiwa aaache kulumbana????
 
Mkuu hapa Dar, umekuja juzi tu kwa siku chache kabla hujarudi kule ulikotoka sio kwamba sijui, dataz hujibiwa kwa dataz, na hoja hujibiwa kwa hoja, ni simple and clear, sidhani kama unahitaji kuwa professor kuelewa hilo,

nimewakamateni pabaya sasa hamzitaki mbichi hizi, maneno mengi dataz hamna wala ukweli hamna, licha ya hoja nia na madhumuni yangu kuanzisha hii topic ilikuwa kama ifuatavyo:-

1. Kuthibitisha kuwa Balali hakuwepo Boston, na hajawahi kuwepo huko katika hopsitali yoyote, na wala hakufia huko Boston.

2. Kuthibitisha kuwa Balali, amefariki kweli na alifariki lini na amezikwa tayari siku ya Ijumaaa.

Ninaomba kuwauliza kuanzia wewe na wenzio, mlichothibitisha kuwa ni uongo against uthibitisho wangu kwenye hii topic ni kipi? Naomba mkiweke wazi watu waone hapa,

otherwise nimekufahamisha kuwa sin mpango wowote wa kujihusisha na wewe at anytime kama nilivyosema tayari wewe endelea kuhangaika tu ila siku inakuja karibuni sana, mimi ni Capitalist kwa hiyo siku zote ninasimamia kwa nguvu zote u-individualism wangu maana ndio hasa the heart ya u-capitalist wangu, sitaki kuburuzwa wala sina mpango wa kumburuza mtu hapa, ila anayefikiri kuwa hoja inaweza kujibiwa na personal attacks badala ya hoja, basi ajaribu tena aone, na sina mpango wa kuwa shallow mind hivi karibuni au anytime in the future na wala sitishiki na lolote kwa sababu hii ni ngoma nzito sana.

Haya tuendelee kukata ishus, later!
 
Nawe utaambiwa ni SAM alie badili jina

Kwanza kunamtu hapa JF anaepewa Thanks kama MWkjj??? ina maana ndio anaongea points siku zote?? lkz kuna siku anachemsha yeye ni binadamu, kwanza wengi tuu walikuwa walumbana nae kwann yeye ndo aanza kuwa mkali?? ok sasa ndo tuseme hataki pia kuambiwa aaache kulumbana????

Just pure nonesense! Eti umemuona Chenge kwenye Bar wakati Chenge bado yuko London, kweli nimekuaminia kwa dataz mkuu!
 
pia kusema unaonewa wivu this is nonsenses kwa kweli!Mkuu jirekebishe let us discuss ideas

Mkuu hivi kweli watu wanaojua ku-discuss ideas umeshawaona kwenye hii topic? Wewe mwenyewe una-discuss ujuha halafu unaongelea ideas? Hivi mbona mnazidi kujiabisha? Mnacholilia hasa sielewi eti ni nini wakuu?

Mnataka nikubali mniburuze? Mwanakijiji sio mimi naona mnajaribu ku-divide and rule kwa kurusha jina la mkulu wangu MMJ, unajua watoto huwa wana akili za kitoto, grow up vijana acheni kulia lia hapa wanaume tuko kazini!
 
Okay,

ES, can we call it a day mkuu? I mean hii hoja naomba kuifunga kwa sasa... Allowed? Kama kuna zaidi basi niko tayari kuiachia iendelee lakini nahisi muda wake umefikia tamati!
 
Mkuu hivi kweli watu wanaojua ku-discuss ideas umeshawaona kwenye hii topic? Wewe mwenyewe una-discuss ujuha halafu unaongelea ideas? Hivi mbona mnazidi kujiabisha? Mnacholilia hasa sielewi eti ni nini wakuu?

Mnataka nikubali mniburuze? Mwanakijiji sio mimi naona mnajaribu ku-divide and rule kwa kurusha jina la mkulu wangu MMJ, unajua watoto huwa wana akili za kitoto, grow up vijana acheni kulia lia hapa wanaume tuko kazini!

Nilikwambia toka mwanzo sina nia ya kujiingiza kwenye malumbano na wewe,

sasa wewe mwenye SENSE na kujua kila mtu hapa na kila kitu hapa endelea bwana we endelea kuleta "dataz" ila sitakuogopa kukwambia ukweli

kwa upande wangu nafunga rasmi mjadala huu sitajibu lolote kuhusiana na ukali wako unapoambiwa uache kulumbana......
 
Just pure nonesense! Eti umemuona Chenge kwenye Bar wakati Chenge bado yuko London, kweli nimekuaminia kwa dataz mkuu!

we kweli kaka wa ajabu sana hivi wenzio tusiongeee.... mi sina uhuru wa kusema nimemuona chenge Hunters???? hahahahaha..... na zakaria nae alipigiwa simu nae muongo????? mbona kilakitu unataka kujua wewe tuu na usema wewe kijana??? kwani chenge hawezi kuwa amerudi toka London muda wote toka imetangazwa maana mi nimemuona jmosi usiku????

Na si busara kuniambia nadiscuss ujuha, nadhani toka nimeingia hapa sijatumia lugha hizo ambiazo naamini kabisa ni za matusi
 
we kweli kaka wa ajabu sana hivi wenzio tusiongeee.... mi sina uhuru wa kusema nimemuona chenge Hunters???? hahahahaha..... na zakaria nae alipigiwa simu nae muongo????? mbona kilakitu unataka kujua wewe tuu na usema wewe kijana??? kwani chenge hawezi kuwa amerudi toka London muda wote toka imetangazwa maana mi nimemuona jmosi usiku????

Mkuu chenge wakati anaondoka aliaga na akaondoka, hivi amerudi lini? Maana Chenge hawezi kuwa mahala ukamuona wewe tu. Halafu hata na kutoka Airport mpaka nyumbani kwake tena mpaka kwenye Baa, kweli asionwe na mtu yeyote?

Mkuu na mimi unanifanya sasa nipoteze imani na wewe. Ngoja labda kuna mwingine atakuwa amemuona maana wewe tu ndiye uliyepata simu kutoka kwake, pia inaonekana ndiye unayemuona hapa bongo.
 
Hakuwa meza niliyo kaa mimi ila alikuwa amekaa meza ya jirani na mimi... pia na swala la si mu sijasema kuwa mimi ndio nimepigiwa labda sijaeleweka vzr, aliepigiwa na kuambiwa kuwa chenge kaonekana ni zakaria

ilikuwa hivi:
Quote:
Originally Posted by Tuandamane
Jamani nimemuona Chenge jmosi usiku pale G8(Bar) kinondoni, wakati mi naingia (kwenye saa tano usiku) yeye ndo alikuwa anaondoka na kumwana mmoja (sikuweza kujua kama ndo huyo mkewe mpya au vp) kamwaga ofa pale halafu akaanza, UK kaja lini, au hii post imetumwa hapa lini.... nisije nikawa nyuma na wakati

Duh! Kumbe kweli JF tuko kila kona! Kuna mtu alinipigia simu jumamosi akaniambia Chenge yuko Hunters na mkewe wanakula nyama!

link hii hapa soma uelewe vzr
https://www.jamiiforums.com/showthread.php?t=13767&page=4
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom