Hatimaye Nime-Confirm Kuwa Balali Amefariki!

Hatimaye Nime-Confirm Kuwa Balali Amefariki!

Status
Not open for further replies.
1.
Tatizo la tatu, na muhimu kuliko yote ni mass deception anayo i effect huyu mtu. I mean he garners cult-like adherence to whatever he dishes out. With the kind of rationale he exudes in these forums,

Wewe juha hata uandike hiyo lugha haibadili ukweli kuwa wewe ni juha tu, sasa vipi kiswahili kimekushinda? Maneno mengi huna ukweli bro, maneno yako mengi lakini nia ni moja tu kujaribu kuharibu jina langu na credibility, ngoja nikupe mifano mitatu tu ya ukweli wangu ya hivi karibuni:-

1. Nilisema rais haendi London, hakuenda.

2. Nikasema Chenge, ampekuliwa na yuko London under makachero, ikathibitishwa hapa na watu wengi sana.

3. Sasa nimesema kuwa Balali, amefariki na imethibitishwa hata na rais wetu.

Manneno yako hapo juu ni ujinga na ujuha ta best, wewe ni juha tu!


3.
I couldn't figure in a million years how he won his following. Absolutely amazing!

Hili ndilo tatizo lako toka siku ya kwanza ulipoingia hapa JF, nashukuru kuwa hatimaye umelisema na watu wote wameona sasa, ulichojaa ni wivu na uzandiki na majungu matupu hapa huoini ndani mkuu I am too big for you!!

.......itaendelea.....
 
wasee,
hii kitu inachosha sana....Basketballer hayupo kwenye Camp yeyote, yupo Springfield, Massachussetts kapumzika na washkaji!! Jumatano anatia zake timu Bongo (mtu akibisha..nitampa namba ya simu aongee nae, maana nimemwambia na kasema sawa)!!

kuhusu huyo mtoto anayeitwa Edward ni mtoto wa Rupia G na bibie B, kwanza wanaishi Fitchburg na sio Boston!! Pili jamaa aliakwa tu kwenye hiyo fundraising lakini alipata udhuru na hivyo kushindwa kuhudhuria........kuhusu Bballer wa Uconn, Msee usiseme kwani mie huwa nakula tiketi anytime nikitaka za home games na unampakazia kuhusu kuwa na demu Boston!! jamaa ana demu wake pale chuoni ambae ni mtu wa track and field...of course kuna mechi za ugenini lakini hiyo ni issue nyingine!! kama kuna mtu ambae yupo USA na ana jamaa kwenye area code hii (413), that's a Springfield area code.... apige simu na kuuliza ukweli wa niliyoyandika!!....of course na baraka za dogo mwenyewe ktk post hii......goodnight and goodluck.
 
Nchi Imekwisha!!!

Tunatumia muda mwingi; nguvu nyingi na Rasilimali nyingi kufanya vitu ambavyo vilistahili kufanywa kwa pungugu ya 1% ya muda wetu, nguvu zetu na rasilimali zetu!

Mwenzetu katangulia kwa mbele ya haki... Period.


Kila binadamu ataondoka hapa dunia kwa sababu fulani fulani; Ajali, Vita, Ugonjwa; Utapiamlo... kufa maji, Kipindupindu, vurugu za maandamano, uchaguzi, etc. etc. Si jambo la ajabu hata kidogo mwenzetu huyu kuondoka kwa njia aliyoondoka nayo...
 
wasee,
hii kitu inachosha sana....Basketballer hayupo kwenye Camp yeyote, yupo Springfield, Massachussetts kapumzika na washkaji!! Jumatano anatia zake timu Bongo (mtu akibisha..nitampa namba ya simu aongee nae, maana nimemwambia na kasema sawa)!!

kuhusu huyo mtoto anayeitwa Edward ni mtoto wa Rupia G na bibie B, kwanza wanaishi Fitchburg na sio Boston!! Pili jamaa aliakwa tu kwenye hiyo fundraising lakini alipata udhuru na hivyo kushindwa kuhudhuria........kuhusu Bballer wa Uconn, Msee usiseme kwani mie huwa nakula tiketi anytime nikitaka za home games na unampakazia kuhusu kuwa na demu Boston!! jamaa ana demu wake pale chuoni ambae ni mtu wa track and field...of course kuna mechi za ugenini lakini hiyo ni issue nyingine!! kama kuna mtu ambae yupo USA na ana jamaa kwenye area code hii (413), that's a Springfield area code.... apige simu na kuuliza ukweli wa niliyoyandika!!....of course na baraka za dogo mwenyewe ktk post hii......goodnight and goodluck.

mzee, naona grilling inaendelea kama kawa !
 
Kada,
ataona kwenye michuzi au magazeti ya Bongo jamaa anatua zake Bongo alhamisi/ijumaa........kama kawaida yao walivyo mapimbi, watatuma waziri na lundo la watu kumpokea!!! bongo bwana....
 
1.
hii kitu inachosha sana....Basketballer hayupo kwenye Camp yeyote, yupo Springfield, Massachussetts kapumzika na washkaji!!

Mkuu YRS,

Sina tatizo na wewe, unaweza kusema as much as you want, lakini ninashukuru kwa kuthibitisha hili hapo juu, ahsante mkuu kwa sababu ndio hasa ninachosema, kuwa mkuu huwa ni nadra kuonekana UCONN!.


2.
unampakazia kuhusu kuwa na demu Boston!! jamaa ana demu wake pale chuoni ambae ni mtu wa track and field

Kwenye hili mkuu jaribu kutafuta tena ukweli, jamaa huwa analala wapi hapo Boston!

Otherwise ninakutakia mafanikio mema, nia na madhumuni yangu ilikuwa ni:-

1. Kusema ni kwa nini ninaamini kuwa Balali, hakuwepo huko Boston, na kwamba hakufia huko Boston, sasa nashangaa tu kwamba mjadala umegeuka kuwa Hashim badala ya Balali, kwa hiyo naomba turudi kwenye the real ishu, mimi nilisema na ninasema hivi kuwa Balali, hakuwepo Boston na hakufia Boston, je wewe na Kuhani mnasemaje on this?

2. Nimesema kuwa Balali, nimethibitisha kuwa amefariki DC, tena nyumbani kwake Jumapili, usiku na amezikwa leo kwenye makaburi ya Heavens Of Peace kule DC, kwenye hili nyinyi mnasemaje?

Hizi ndizo hoja zangu za msingi kwenye ishu ya Balali, je zenu ni zipi? So far sioni vipingamizi on this ishus, naona basketball tu wakati the ishu ni kubwa kuliko kinacholiliwa, vipi tukirudi kwenye the real ishu?
 
YournameisMine,
Mkuu kumbe mfuatiliaji mambo heee! haya lakini kitu kimoja tu usimwekee Mbongo dhamana inapofikia swala la chini (Mademu) hata kama ni mzazi wako kwani kwetu mabibi wengi ni sifa,ndio urijali wenyewe..
Mbongo hata siku moja haachi nyuma asili yake, ni lazima atakuwa na Kipapi cha Home wenyewe wanasema - Homemade juice!...Kwi kwi kwii!
 
1.
I mean huyu mtu kasema jana kwamba kwenye State ya Massachusetts unaweza kupata info za mgonjwa kwenye internet. Watu wanaishi Marekani hapa miaka enda rudi halafu kweli mtu anatamka kitu kama hicho unaendelea kum grant credibility? Such informational and analytical travesty? I mean you would think JF is predominantly of tech-savvy, socially conscious and informed members watakao google vitu kabla kuvibugia, hata kama you have no concept of 'patient confidentiality' norms, which are almost unbreakable everywhere in America.

Kulazwa hospitali yoyote Boston sio siri, jana Senator Kennedy, alilazwa hospitali na tunajua kupitia internet kuwa alilazwa hospitali gani, kinachofichwa na sheria ni ugonjwa wa mgonjwa, lakini sio hospitaliu aliyolazwa, again kama kawaida yako ni uzandiki na kubadili maneno ili tu uonekane kuwa una hoja kumbe ni kama kawaida yako hewa tupu!

Ninarudia kuwa huko Boston tunaongea na wakali wengi sana wabongo, wewe sio mkali huko mkuu ni mtu tu wa kawaida, kulazwa hospitali sio siri huko Boston, ingekuwa tusingejua Kennedy alikuwa hospitali ipi, siri ni ugonjwa wa mtu sio hospitali aliyolazwa!


3
. I'm done talking. I mean, duuh, vituko vimejaa humu!

Mmimi nipo bado ninaendelea, hata siku moja sikimbii hata usaidiwe na nani maana kwangu una-support ya wenye akili kama zako, finyu na shallow, kama ni vituko ni vyako mkuu, mimi sina noma ninaendelea kuweka vitu hapa, sasa hivi ninazikusanya habari za mazishi na nikiwa tayari nitaziweka, wewe badili channel maana siendi kokote mkuu, eti nikukimbie haitakuja kutokea!
 
Ila nimekubali mafisadi ni soo babake... duuuu! Yaani unaambiwa wamemfanyia plastic sugery Balali na kumshauri abaki Marekani maisha yake yote yaliyobaki , then wakaishauri familia yake zitangaze msiba na waseme watazika kulekule marekani... na hairuhusiwi mtu wa nje ya wanafamilia kuhudhuria kwa kuwa mtashtukia kwamba anayezikwa ni maiti iliyonunuliwa mortuary ya hukohuko majuu na kuvikwa sura ya balali. Then baada ya hapo wabongo mnaletewa picha za mazishi kama vile kafariki kweli..... loooo kama hamjashtukia hilo mmeliwa!!!! Poleni eeeee wabongo wenzangu kwa kulishwa mchanga wa macho!!!!!! MAfisadi Hureeeeeeeee! Mkapa, Chenge, Mgonja, Mramba, Kikwete, Lowasa, na wengine wote naona mna-toast glass za wine tu kushangilia dili kutimia... Mna akili fyetu nyie !!!!
 
Ninawatakia maombolezo mema na mazishi yenye amani, na Mungu amuweke mahali pema marehemu peponi, kwa kweli ninategemea familia hii wataturuhusu kuuweka ukweli unapotakiwa when the time is right kuhusiana na kifo hiki kwa sababu kutokana na dataz ninazozidi kuzipata kuna facts nyingi sana zinahitaji kuwekwa wazi ili ukweli na uongo ujitenge!

Ahsante Wakuu! Na JF Mbele Zaidi!


The Following 9 Users Say Thank You to Field Marshall ES For This Useful Post:
Amina (22nd May 2008), Bubu Msemaovyo (Yesterday), Jasusi (22nd May 2008), Mkandara (22nd May 2008), Mwazange (Yesterday), Realist (Yesterday), Rev. Kishoka (Yesterday), wambandwa (Yesterday), Yebo Yebo (Yesterday)

Mkuu hapo chini kuna mpaka ndugu wa karibu sana wa marehemu, wanaokubali hizi dataz kuwa ni za kweli, sasa wewe zako zenye ukweli kuliko hizi ziko wapi mkuu?, naona ni maneno ya basketball tu!
 
mkuu FMES,
nakuzimia na kukuheshimu sana hapa JF!! background yako ni breathtaking....
jamaa alikuwa Boston mara ya mwisho ile game na Gonzaga pale BankNorth Garden formerly known as Fleet Center!!
kuna 'family' friend wake pale Framingham-Mass mji mdogo nje ya Boston kama 45 minutes....the rumour has it kwamba dogo alikuwa anabandua kabinti hapo....lakini mie simo na sitaki!! ila with authority nakuhakikishia kwamba dogo hana demu Boston!!
tena hizi si anga zake....yeye hupendelea Springfield, NYC, Jersey na Houston-TX.....nipo na resements flani flani hivi kwa kuwa forced kuongea yote hayo!!

back to balali, huyu bwana kafa na kesha zikwa...tumuombea tu(hiyo ni hiyari)

I hope tutaendelea kuwa cool, mie ngoja ni burudike na Jazz Music hapa maana leo ni Walter Beasley ndani ya Scullers Jazz Club!! life is sweet...goodnight!! LOL.
 
Wakuu wote wazoefu wa jf wale niliowakuta na wale walionikuta pamoja na watizamaji wa kawaida...Mjadala huu ulianza kitambo!
Kuna wale wenye kusema kuwa napenda kulazimishia point!
Lakini ndugu zangu nadhani sasa tumeshajifunza mengi!
Laiti tungesikilizana kipindi cha nyuma na kuweka nguvu pamoja!
Gonga hapo chini uelewe tulikotoka na huu mgogoro wa Ballali na wale wote waliokuwa na ambao bado wana imani na muungwana!
Kongoli hapo ujionee mvutano uliopelekea hoja hii kupelekwa kwenye vibweka vya wakubwa kwa kigezo kile kile kuwa ni JMushi...
https://www.jamiiforums.com/showthread.php?goto=newpost&t=9330
 
balali amekufa kweli, utata umezunga sana halki yake tangu kashfa ile ilipongunduliwa, cha kusikitisha zaidi, Mheshimiwa balali ashakuwa jamvi la wageni. kila kitakachoambatana na mipoesa ile basi atasingiziwa marehemu tuu. the old story. historia inajirudia tuu. balali ashakuwa sabuni ya kuosha wakubwa. nini tena tutafanya, imani yetu iko wapi, nani anajua kitakachofuata/
 
YournameisMine,
Mkuu kumbe mfuatiliaji mambo heee! haya lakini kitu kimoja tu usimwekee Mbongo dhamana inapofikia swala la chini (Mademu) hata kama ni mzazi wako kwani kwetu mabibi wengi ni sifa,ndio urijali wenyewe..
Mbongo hata siku moja haachi nyuma asili yake, ni lazima atakuwa na Kipapi cha Home wenyewe wanasema - Homemade juice!...Kwi kwi kwii!

nakupata mkuu....ingawa tuna history, lakini mie najali sana mawazo yako na never miss kusoma post ya wewe!! issue hii ya dogo ukitaka mengi muulize Issack Kibodya( najua wewe ni mtu wa zamani na lazima utakuwa na access na huyo jamaa), kwani yeye anaishi Springfield kwenye hiyo 413 area code, kwasasa nadhani yupo Bongo kwenye msiba wa baba lake....si vyema kusema vitu ambavyo havina uhakika!! si unajua tena, wengine ni 'young gunz' kwahiyo ni approach tu, lakini substance ni kama vile kuuliza kama machungwa yanapatikana Tanga!! nadhani tupo pamoja!! happy memorial day wkend....LOL.
 
1. nakuzimia na kukuheshimu sana hapa JF!! background yako ni breathtaking....
jamaa alikuwa Boston mara ya mwisho ile game na Gonzaga pale BankNorth Garden formerly known as Fleet Center!!

nipo na resements flani flani hivi kwa kuwa forced kuongea yote hayo!!

back to balali, huyu bwana kafa na kesha zikwa...tumuombea tu(hiyo ni hiyari)


1. Mkuu ninakusikia, sina nia ya kurusha majina kuhusiana na the kid, kwa sababu I know too much na wanaohusika wasingependa majina yao yatajwe hapa, ila utkapopata nafasi tafuta tena info za jinsi mama mmoja aliyempa binti yake huko Boston, ambako nsiko anakolala sana mkuu.

2. Now tatizo lako na Kuhani, na wanamuunga mkono ni my credibility, au the dataz ninazomwaga, ninasema hivi hakuna wakati wowote tumewahi kuwa on top of the game ya dataz kama wakati huu, sasa hivi dataz zetu ni national, sio hapa tu JF, huwa tu hatupendi kusema, lakini as far as dataz sasa tumefikia level ya national, ni hivi karibuni tumefikia hata kuwapa magazeti imara ya taifa letu yanayosifika, ukiangalia kwa makini in the last two weeks tumeshare very important info au dataz na magazeti muhimu ya taifa letu,

Na hizo dataz zimewasadia sana kuuza, na kuelimisha taifa, lakini tumekataa sharti moja tu walilotupa la kutoka hapa au kaucha kutoa dataz hapa, kwa hiyo mkuu mimi ninasema hivi kwa wale wenye wivu au chuki na mimi, na dataz zangu ni kwamba tuko mbali sana, sio level hii tu bali tuko natiional na tutaendelea kuweka vitu hapa, mimi sina noma na wewe kwa sababu sina wasi wasi wowote, as far as dataz hata siku moja haitakuja kutokea kwamba our credibility itapiga mwaba kama wengi wanavyoombea hapa,

Ndio kwanza tuko national na tunasonga mbele, daima! na by kesho tutakuwa na more dataz on mazishi ya Balali!

Ahsante Mkuu!
 
1.

Kulazwa hospitali yoyote Boston sio siri, jana Senator Kennedy, alilazwa hospitali na tunajua kupitia internet kuwa alilazwa hospitali gani, kinachofichwa na sheria ni ugonjwa wa mgonjwa, lakini sio hospitaliu aliyolazwa, again kama kawaida yako ni uzandiki na kubadili maneno ili tu uonekane kuwa una hoja kumbe ni kama kawaida yako hewa tupu!
!

hospitali haikujulikana kupitia kwenye internet bali ilitokea kwa familia au family friends wa the kennedy family na internet just like any other media either kupitia hard copy au kwenye runinga walijua ! SO WHAT AM SAYING NI KWAMBA YOU CAN NOT (HUWEZI) KUPATA EVERY INFO KWENYE INTERNET AS YOU MIGHT THINK UNLESS ITS PUBLIC AU UKATUMIA NJIA AMBAZO NI ILLEGAL KUPATA HIZO INFO ! tena naomba ifahamike kwamba internet haikuleak jina la hospitali aliyolazwa kennedy bali wenyewe waliamua kuweka wazi !

Kama wangetaka wasitoe info za kennedy (hospitali aliyolazwa) wangefanya hivyo na watu wangeanza kuguess ! so kulazwa kwake mass. general hosp. ingekuwa siri if they chose to ! tena kumbuka huyu ni kennedy family !
 
Either Balali or Muganda is brilliant!
They have managed to change the tide of bitterness towards Balali and family to that of Sympathy!
How is it being done?;-)
  • Keep the death as mysterious as possible in order for the mass to demand what you won't give. Government (being not in charge in US) should end in the sidelines with the citizens screaming for proof.
  • Show bitternesss and suspect the government for wrongdoing while you know what the sickness was...
  • Balali didn't make any public statement coz he knew he was not clean (or not THAT clean), even when the minister publicly spoke of his lie.
  • It was easy to do postmorten to clear the air. Why hold the suspense? This is family's calculated move.
Being marked as FISADI is bad for the image of the person and the whole family. At least now they will have sympathy of the citizens and enjoy what he earned for them...
 
Mkuu Kada,

Sio kwamba ninakuogopa, isipokuwa nimeamua kuwa sina sababu ya ku-go against you kwa sababu ninakujua mno, kwa hiyo ndio maana ninakupa nafasi ya kusema unavyotaka, lakini sitakujibu mkuu,

Ninachosema ni kuwa Kennedy, alilazwa Hospitali ya Mass. General Hospital na habari hiyo mimi niliipata kwenye internent, baada ya ku-google tu na ndio point yangu iliyokuwa inafanyiwa kejeli kubwa hapa na "vichwa",

kwa hiyo hii sheria niliyoambiwa sana hapa ya siri kumbe ilikuwa ni kwa ni Balali tu, lakini ni okay kutoa info za Kennedy? Halafu mnasema mimi nina matatizo ya ukweli, dataz na credibility? Haya sasa fafanueni hili mbona info za kulazwa kwa Kennedy zipo kwenye bomba kama nilivyosema, sasa za Balali kwa nini hazipo na yeye alilazwa huko Boston?

Anyway, usiku mwema mkuu I rest my case kwa leo, labda kesho na thread hii itaendelea maana sasa ninajitayarisha kumwaga more datazzzzzzzzzzzzzzzzzz!
 
Kama wangetaka wasitoe info za kennedy (hospitali aliyolazwa) wangefanya hivyo na watu wangeanza kuguess ! so kulazwa kwake mass. general hosp. ingekuwa siri if they chose to ! tena kumbuka huyu ni kennedy family !

Ahsante mkuu kwa hizi dataz!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom