Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
- Thread starter
-
- #121
Sadari haachi asili π€£πkumbe vado ujaacha weeeeeed
ππ
Huwa ana miba miba mingiNamsikia tu labda nimsearch
Boss wako karudiumechelewa sana albin
Ongeza sautiBoss wako karudi
Nisaidie kuongezaOngeza sauti
a phenomenal dude is here. πππNisaidie kuongeza
Ujanisomesha koment kwa kigogo tafadhalia phenomenal dude is here. πππ
We sema hupendagi pets kabisaπ, USI singizie mengineπ€Unamaanisha paka huyu huyu ama kuna maana nyingine ? Shairi lote hilo unamuimbia cat?π
Kenge maji tulia πUjanisomesha koment kwa kigogo tafadhali
Basi nimekosa mimi, tena paka ndiyo kabisa sitaki hata kumuonaπ ila kuwa serious ulikua unamaanisha paka kweli?We sema hupendagi pets kabisaπ, USI singizie mengineπ€
Mi napendaga kusoma mashairi tu, na Hilo nime litafasiri tuBasi nimekosa mimi, tena paka ndiyo kabisa sitaki hata kumuonaπ ila kuwa serious ulikua unamaanisha paka kweli?
Sawa msalimie paka wako ila nikimuona ntakimbiza huyoπMi napendaga kusoma mashairi tu, na Hilo nime litafasiri tu
hakuna mtu au kitu, Picha ni ya paka wangu ndioπ€
Maybe niandae pambano, mshindi atakaa juu ya sofa pendwa πSawa msalimie paka wako ila nikimuona ntakimbiza huyoπ
ππ yaani paka anishinde mimi? Ntamdunda hatoaminiMaybe niandae pambano, mshindi atakaa juu ya sofa pendwa π
My last sibling, Ali mtengenezea suti ya mapigano.ππ yaani paka anishinde mimi? Ntamdunda hatoamini
Nakuona nusu albinoo π€Boss wako karudi
Siku atakung'ata pumbu na kutokomea nazo huwa hatabirikiKuwa attached na mnyama ni mambo ya kidada ??.
Nina urafiki na karungu yeye, Nina mfuga nyumbani.
We je Jamaa ume nifanya niji tafakati kwa makiniππSiku atakung'ata pumbu na kutokomea nazo huwa hatabiriki
Fyucha bigioneaNakuona nusu albinoo π€
Sio kosa.Sasa Kaka, kuhusudu mnyama ni kosa?.
Beside am not here to live up your expectations, neither your here to live up mines.