Hatimaye nimeachana na mchepuko wangu

Hatimaye nimeachana na mchepuko wangu

Status
Not open for further replies.
2019 tulikorofishana na mke wangu akawa ameenda kwao nikamfata akagoma
Tukatuma ndg mpk wazee akakataa hataki ndoa hii tena(wife ana gubu na me ni mkurya mkorofi so ilitupa shida sana kwenye ndoa) hapo tulikuwa na 3yrs na mtoto mmoja
Hivi hao malaya wa chuo huwa mnawaokota okotaga wapi? Huyo alikuwa malaya tu. Tabia ni kama ngozi haibadiliki, nadra sana.

From R. Heriel

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
 
Maana yake hapo ametuambia alienda kuoa kisha akarudi na mke mjini akampangia apartment na yeye akaenda kuishi kwingine.

Rud usome upya sikumuoa bali nililipa fain sababu ya kumpa ujauzito binti yao kisha nikapewa jukum la kusimamia elim yake mpk akimaliza ndo mambo ya ndoa yaanze

Kabla alikuwa anakaa kwangu but aliporud na mimba akaomba nimpangie karb na chuo maana kwangu ni nje ya mji kdg
 
Rud usome upya sikumuoa bali nililipa fain sababu ya kumpa ujauzito binti yao kisha nikapewa jukum la kusimamia elim yake mpk akimaliza ndo mambo ya ndoa yaanze

Kabla alikuwa anakaa kwangu but aliporud na mimba akaomba nimpangie karb na chuo maana kwangu ni nje ya mji kdg
Mwanzo hukuandika hivi kwahiyo usilazimishe chai yako kuwa mtori.
 
Duuh,Sherehe ilifanyika ya Nini sasa ,Demu akaomba kupangiwa wakati Sherehe ilifanyika na washakubaliana kuishi pamoja kama Mke na Mme.
Mbona kawaida tu.

Mwanamke anaweza asitake kuishi kwenye nyumba ambayo mke mkubwa anaweza kurudi wakati wowote.

Anahitaji uhuru wa kuwa na sehemu yake.
 
kiongozi leta vitu...hawa mademu wanataka kuchanganya watu..ukiwa na hela shida ukiwa huna shida!! hapo ndipo napokumbuka kuwa mke mwema anatoka kwa bwana.

Kuna siku nilimsikia demu mmoja anasema kuwa kama kampenda mwanaume huwa haitaji kutumiwa nauli hata kama anaishi moro atakuja kwa nauli yake na hata idai hiyo pesa.

Angalizo ukiona demu unamwita anakuambia tuma hela ndo nije piga chini fasta huyo hakufai.
 
Rafiki yangu alinambua mimi nikifa sina cha kusimulia.

In short sijawahi kuwa na tukio lolote kwenye mahusiano ambalo nimesababisha mimi.

Na sijawahi kuwa na mwanaume zaidi ya mmoja kwenye mahusiano

Nina woga sana nikiwaza niko na mtu sion mwelekeo naachana nae bila maneno.sipendagi kelele
Miaka mingi nikogo single.sipendagi hizi kurupushani.

Sipendi mama yangu asikie jambo lolote baya kutoka kwangu.

Mleta mada mchepuko wako ni malaya.

Na kizazi kitakuwa kishalegea.
 
Mbona kawaida tu. Mwanamke anaweza asitake kuishi kwenye nyumba ambayo mke mkubwa anaweza kurudi wakati wowote. Anahitaji uhuru wa kuwa na sehemu yake.

Huyo demu ni Malaya ndo maana akaomba apangishiwe kusudi afanye umalaya wake vizuri.

Kuhusu Mke mkubwa,Jamaa anadai walikuwa walisha achana tayari imebaki kulea mtoto TU maana alimfata hadi kwao akagoma kurudi na kamfungulia biashara Kwa lengo la kulea mtoto.

Ko hiyo siyo sababu ya kutaka kupangishiwa sehemu nyingine.
 
Inawezekana hii habar n ya kweli ila CHAI n nyng sana...askari hawezi kufukuzwa kazi eti kisa anapelekwa mahakaman kwa ugomvi wa kawaida hvyo
 
Bando lako la 24 hrs linakaribia ku expire au?[emoji38][emoji38]
Mzee mm tatizo huwa linakua chaji tu [emoji1][emoji1][emoji1] mwaga vitu, maana wengine hili jukwaa ndio tunalitumia Kama kilinge Cha kula story
 
Inawezekana hii habar n ya kweli ila CHAI n nyng sana...askari hawezi kufukuzwa kazi eti kisa anapelekwa mahakaman kwa ugomvi wa kawaida hvyo
Maana hapo ngoja kwanza ncheke.

Kakwambia nani haezi fukuzwa kazi?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom