Hatimaye nimeamua kuachana na mpenzi wangu anayependa mapenzi kinyume na maumbile

Utabiri: Huu uzi utakimbia kwa kasi ya 5G
Si umeona.

Sasa ntabirie shemeji ako anamtumia nani text za ''Bebi u know i love you na hata huyu dadako hapa niko nae tu vile watoto , namuacha taratibu taratibu''
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hajaacha muongo huyu mwaka mzima aliwe 0712 halafu aache thubutuu kapumzika tu time will tell [emoji1787]
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Mimi kuna mjinga niliachana naye sababu nilikuja kuhisi kama anamtembezea mtu tope. Tena alikuwa mume wangu wa ndoa. Kila siku UTI haziishi mpaka Dr. Kaniuliza kuna mambo wewe au mume wako anafanya. Baada ya kuachana naye, UTI zikaisha loh
Changamoto, shida kuna watoto wa kike nao wanapenda hiyo michezo sijui itakuaje
 
Asante sana kwa ushuhuda, Mungu ni mwaminifu amekushindia na atakushindia daima.
 
Yeah hili lipo wazi wanaume Huwa hatuwali 0713 wanawake ambao ni future wife zetu
Yaani wale ma ex wanao tuacha kwa jeuri wakirudi ndo tunawafanyia sodoma na gomora maana kampelekea jamaa kaichakaza halafu anarudi tena hyo ndo dawa yao lazima tuzibue choo nani anakula makombo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…