Hatimaye nimeamua kuachana na mpenzi wangu anayependa mapenzi kinyume na maumbile

Uko sawa na mimi Mkuu mimi huo mchezo nimeapa sitakuja kuufanya maadamu papuchi ni tamu sana acha niitwe mshamba nitaendelea nazo hizo tu
 
Mtu na akili zake kabisa anafanya huo upuuzi ,. Mwanaume huyo ni mpuuzi hafai katika jamii hafai hata kuwa mlezi wa familia , hafai mtaani, hafai kwenye kila jambo jema la jamii yake .

Mwanaume anaefanya huu upuuzi hata familia yake itakua ya kipuuzi...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Roho imeniuma sana dada,pole sana. Nakupa neno moja na usisahau. Amua kuanza upya kila kitu kwa sababu kitakachoamua future yako sio ulikotoka bali ulikoamua kwenda kuanzia sasa. Mungu amekwisha kukusamehe,wewe ni nani hata usijisamehe na uka-move on? Mimi niko pamoja na wewe
 
sio tangazo,shida mnataka kukataa ukweli wakati ni tatizo lipo kwenye jamii yetu,shida ni kua hata waofanya haya mambo ukiambiwa wanafanya hauwezi kuamini.
Pole sana na hongera kwa kuacha.
Mungu wetu anasamehe.
 
Chetani ni wewe mwenyewe mkuu.
 
Wanataka wao wenyewe hapo ndo shida inapoanzia 🤭🙈
Mwanamke gani huyo alokwambia anataka nyuma.....yani itokee tokee tu mtu aseme anataka nyuma ajawai kufanywa nyuma....... wanaume acheni kuharibu mabinti za watu na watoto wakiume wa watu ..unachomfanyia mtoto wa jirani ako na wako atalipwa vivo hivyo na sio tu wako hata ww unaweza lipwa hivo hivo
Unadhani alosema malipo ni hapa hapa duniani alimaanisha Nini
 
Manina hii dhambi ya kufirana hata shetani anaiogopa!Nitakufa na bikira yangu ya nyumba kamwe katu abadani sitowahi kufanya huu upuuzi for the name of love.Pole mae kwa kutembea bila rinda.
[emoji23][emoji23] usiseme ivo mjusi kafir anaweza kuteleza akakosea njia akapasua linda alafu ukaelewa game
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…