Hatimaye nimeamua kuachana na mpenzi wangu anayependa mapenzi kinyume na maumbile

Kwaiyo hauna marinda?
 
Unawagunduaje mjuvi?
 
Hongera kwa kuchukua uamuzi huo, kuumia tu hakutoshi, unapaswa kutubu mbele za Mungu, Yesu atakusamehe. Ataondoa mashaka na majuto ndani yako, unayo nafasi ya kumtumikia yeye kwa kuwasaidia wengine waliokwama kwenye mtego huu mchafu.
 
Na mimi nakuunga mkono kabisaaaa.....hainiingii akilini for the whole year umefanya halafu leo ndio ushtuke kuwa hutaki na unaachana naye kwa kuwa kuna madhara....labda utuambue kuna sababu nyingine inayofanya unamuacha ila umekuja kujustify maamuzi yako na umeamua kumvua mwenzio nguo na kuonyesha madhaifu yake but let me assure you...WEWE TAYARI NI MLAIBU NA UTAENDELEA KUFANYA TU ONCE AKITOKEA MWANAUME AKAJARIBU KUOMBA UTAMPA NA HATA ASIPOOMBA UTAMTEGESHEA AU UTAMUOMBA WEWE KWA LAZIMA. hiki ndicho kinawafanya mashoga kuendelea kuwa mashoga na fatilia huwa wanaanzaje utanipa majibu
Labda kwa ushauri tu nenda hospitali kapigwe bomba.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mkuu hii comment ulivyoiweka utadhani unanishauri mimi chief ahahahah.
Yan hapo mtu anaweza hisi mimi ndio mtoaji πŸ˜†πŸ˜†
 
Hongera kwa kufanya maamuzi hayo kutoka moyoni na akilini mwako. Hujachelewa bado, japo jitahidi kuwa na msimamo maana utashangaa tena unaangukia mikononi mwa mtu mwenye tabia hizo hizo tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…