Hatimaye nimeamua kuachana na mpenzi wangu anayependa mapenzi kinyume na maumbile

Another Retired veteran [emoji2], haya subria captain save a hoe atakuja kukuoa
 
Usijali kama unataka mume wakukuwowa mie nipo hpa njoo tuyajenge tupate watoto wetu na tutasaidiana katika kuacha huo mchezo mchafu. Ata mie nilikuwa kama huyo boy wako...ya i bila kufyonza marinda nilikuwa sienjoy kabisa kugegedana.

nilikuwa mtu mtu wa hasira tuu demu akininyima ila ndio ukweli umesema mwanaume akikula tigo huyo hakupendi ata mie hao wanawake niliowala tigo sikuwapenda niliwaona kama chombo cha starehe.

Hongera kwa kujitambua binti. Chapa kazi zaa watoto wako walee. Wanaume sie ni mashetani kabisa.
Mashetani wekundu
 
kauli yangu haijalenga kuhamasisha ,ila kuwahimiza wale ambao wameanza kufanya na wanatamani kuacha bado ni muda sahihi kwao,kwani wakiendelea kufanya hiki kitu kwa muda mrefu madhara yatakua makubwa ukilinganisha na wakiacha sasa.
Ila sema ukweli, japokua umeaacha,lakini kuna muda tigo inakuwashawasha!? Sasa ikiwasha unafanyaje!!??
 
Habarini wana JF,

Leo nimeamua kushare na nyie jambo linaloniumiza sana sana, mimi ni jinsia Ke. Nilikua na mahusiano na mwanaume niliyempenda lakini amekua akipenda mchezo huo mchafu.

Nakumbuka nilikua ninamkatalia ila sijui ni shetani ilifika siku nilimkubalia, nadhani tumefanya sasa ni takriban mwaka mmoja japo tumekua hatufanyi mara zote tunapokutana.

Kusema kweli roho inaniuma sana, najiona mkosefu mbele ya Mungu wangu, nalia kila siku asubuhi ninapoiwaza dhambi hii, cha ajabu mwenzangu alikua haoni kama ni jambo la ajabu ndio kwanza alikua ananiambia mbona watu wanafanya ndani ya ndoa na inaonekana marafiki zake wanafanya pia.

Roho inaniuma najuta hata kwanini nilikutana na huyu mwanaume, ukimuona ni mstaraabu huwezi mdhania, anajifanya na yeye ulikua sio mchezo wake ila sio kweli maana kila tukikutana faragha likua anataka kunyonya huko nyuma.

Umri wangu umeenda nipo kwenye early 30th sasa, na sababu ya kutomuacha ni sababu ya malengo tuliyokua nayo na uhitaji wa ndoa na hata watoto lakini nimekaa nimefikiria sana.

Naona kwangu amani ya moyo wangu na pia afya yangu ni muhimu pia ,acha tu umri wangu uende hata bila ndoa kuliko kuja kuharibikia.

Namshukuru Mungu amenipa kazi nzuri na nna kipato tu kizuri kiasi kwamba hata nitakapopata watoto bado nina uwezo wa kuwalea pasipo hata kuolewa.

Nimekua nikisoma thread mbalimbali watu wanasema ni ngumu kuacha huu mchezo, mimi nasema ni rahisi kuacha huu mchezo kama unajua madhara yake na una utayari,nachowaza ni kwamba itakuaje nipate mwenza mpya na aje kugundua nimeshafanya huu mchezo!!,sijajua itakuaje ila all in all nimeamua kumove on,pia sio kweli et ukifanya hayo mambo unashindwa kuzuia haja ,ni mpaka ue mzoefu wa miaka 5 ndio utapata haya madhara.

Nakusihi wewe dada unaesoma uzi huu, acha kumuendekeza huyo mwanaume anaekufanyia mchezo mchafu, hakupendi na atakuacha siku ukishaharibikiwa, ukishindwa kuzuia haja na utakapoanza kuweka pampaz, mimi namshukuru Mungu kwa kuniokoa kamwe sitakaa kufanya tena hii dhambi.
Kama muislam fanya toba ya kweli aisee hii kitu ni dhambi kubwa mno.

Fanya toba ndugu
 
Nyie nyie...haya mambo watu wanapelekeana moto kweli kweli..tena wachumba...??
 
Kwanini ulinikubalia siku ile, na mbona ulikuwa unalia kwa furaha wakati nafanya yangu, unakumbuka kuna siku ni wewe mwenyewe uliomba niende kwa mpalange? Sasa nakuambia utanitafuta wewe mwenyewe baada ya kupata miwasho, kuna vitu niliviacha huko lazima utanitafuta.
 
kauli yangu haijalenga kuhamasisha ,ila kuwahimiza wale ambao wameanza kufanya na wanatamani kuacha bado ni muda sahihi kwao,kwani wakiendelea kufanya hiki kitu kwa muda mrefu madhara yatakua makubwa ukilinganisha na wakiacha sasa.
Mm nakwambia utanitafuta wewe mwenyewe mana kuna vitu nimeacha huko.
 
Mume gani sahihi akute huna rinda? ,mtu ame spend 20's yake yote uko na wanaume wengine,amefika ukingoni sexual Market value ishashuka unasema atapata mme bora?

[emoji706][emoji23]
Wanajipaga moyo sana hawa warembo wakati sie tunawaomba tuwawowe wanasema hatuna mbele wa nyuma sasa sie tunawasubiria tuu...tunatia mimba tunawaacha na usingle maza wao
 
Dunia inakwenda kasi sana hii

Mambo haramu yanapiganiwa yaonekane kawaida kabisa bila hofu

Mungu atusaidie tulipofika na tuendapo ni masikitiko

Dada hongera kwa uamuzi wako huo na pole kwa ulilopitia
 
Kwanini ulinikubalia siku ile, na mbona ulikuwa unalia kwa furaha wakati nafanya yangu, unakumbuka kuna siku ni wewe mwenyewe uliomba niende kwa mpalange? Sasa nakuambia utanitafuta wewe mwenyewe baada ya kupata miwasho, kuna vitu niliviacha huko lazima utanitafuta.
Kweli wee roho mbaya🤣🤣🤣🤣
 
Dunia inakwenda kasi sana hii

Mambo haramu yanapiganiwa yaonekane kawaida kabisa bila hofu

Mungu atusaidie tulipofika na tuendapo ni masikitiko

Dada hongera kwa uamuzi wako huo na pole kwa ulilopitia
Watu wanatimiza maandiko tuu. Baya litaonekana jema na jema litaonekana baya. So tuishi nayo ila endelea kuwa mwema mbele za muumba
 
Actually huu uzi sio wa mwanamke. Ni Shoga fulani hivi.
Hawa mashoga wamejkuwa mara kwa mara wanakuja na nyuzi kama hizi zinazooromote huu ushetani.

Kuna kipindi wanapotea then wanarudi tena. Wanakuja kwa njia ya kuonesha wanachukia matendo hayo lakini ukisoma content unaona mantiki yao.

"....mbona hata wenye ndoa wanafanya....." anataka kuonesha hadhira kuwa hii ni noemal thing.
Nawe umegundua hili kama mimi.
 
Back
Top Bottom