Hatimaye nimeanza kunywa pombe.

Duh! Hii ni akili ya juzi kabisa.
Endelea mkuu.

Ina maana mimi ushauri wangu uliupuuzia?
Sawa bhaana!
 
'Ama kweli Dunia uwanja wa fujo'.......wenzio wanapambana na afya zao wataachaje pombe,wewe unapambana uwe mlevi!.....utapata unacho kitafuta,usijali kazania unacho amini kwani 'aliwazalo mjinga ndicho kinacho mtokea'.
 
kila mtu kuna anachokitaka mkui na kila mtu na starehee yakee
 
Safi sana uamuzi uliochukua hutajutia
 
Kwani humu jf hakuna wanaokula ulabu ƙama mie? Tatizo siƴo pombe tatizo matumizi ƴa pomɓe
 
Kuna wimbo unasemaga 'Its much better to face these kind of things with the sense of extraordinality'... Sometimes unajikuta katika situation ngumu ambapo ukiwa katika akili ya kawaida ni ngumu kupenya.
 
Mwanaume asiyeangalia mpira na kunywa pombe bora avae magauni na sketi tu maana kiumeni hatumuhitaji..

Big up kaka kwa kuwa mwanaume kamili...popote ulipo chukua bia moja hela utalipa mwenyewe
 
Mwanaume asiyeangalia mpira na kunywa pombe bora avae magauni na sketi tu maana kiumeni hatumuhitaji..

Big up kaka kwa kuwa mwanaume kamili...popote ulipo chukua bia moja hela utalipa mwenyewe
mkuu mpaka nimekupa like
 
Saafiiii sana'
 
Nashukuru kupata mteja mpya karibu sana grocery kwangu de France upate mvinyo wa kisctsh pure
 
Ingawa umeandika ujinga mtupu,bado naamini u mpumbavu kiasi cha kutisha kichwani mwako.Pia siamin kama umeandika ulichokusudia,pengine nia yako ilikuwa kuandika upuuzi lakn umejikuta umeandika ushenzi kwa kiasi cha mwanzo wa namba nzima.Yaani umeandika sifuri.
Huko uliko sema
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we mkuu buana [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Dah.... Juzi ndiyo nimeamini kuwa chai ina madhara makubwa kwenye ubongo kuliko pombe.....nilipiga pombe hadi SAA 10 usiku nikarudi home niko poa tu....nikamkuta dem wangu aliyekunywa chai kavunjavunja kila kitu.....akapiga kelele hadi majirani wakaamka [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
hahaaa polee sanaa mkuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…