kinjekitile70
JF-Expert Member
- Oct 11, 2017
- 1,072
- 1,424
- Thread starter
- #41
umaskiniii si kitu mkuu natafutaaa helaaaUmasikini unauita
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
umaskiniii si kitu mkuu natafutaaa helaaaUmasikini unauita
Angalia usilewe sana.wakakufanya kitu mbayaumaskiniii si kitu mkuu natafutaaa helaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dah.... Juzi ndiyo nimeamini kuwa chai ina madhara makubwa kwenye ubongo kuliko pombe.....nilipiga pombe hadi SAA 10 usiku nikarudi home niko poa tu....nikamkuta dem wangu aliyekunywa chai kavunjavunja kila kitu.....akapiga kelele hadi majirani wakaamka [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
nanii haoo watanifanya mbayaa mkuuAngalia usilewe sana.wakakufanya kitu mbaya
savvanaPombe gani unakunywa
sawaa mkuu tupange appointment mkuuKaribu kundini..kuna wine inaitwa namaqua..glass mbili tu unakua satisfied na unalewa vzuri sana..tofauti na hapo tumia henken au windhoek hutopata hangover asbhi wala kichwa kuuma..so ratiba yako haitawahi haribika mida ya asbhi.
Karibu kundini..kuna wine inaitwa namaqua..glass mbili tu unakua satisfied na unalewa vzuri sana..tofauti na hapo tumia henken au windhoek hutopata hangover asbhi wala kichwa kuuma..so ratiba yako haitawahi haribika mida ya asbhi.
Pombe hainaje maana, yaani wakti sahv ndo inanifanyaa nawika mtaani[emoji15] [emoji15] Niliacha kitambo, haina maana
weee hujajuaa utamu wakeee[emoji15] [emoji15] Niliacha kitambo, haina maana
Wika tu, sisi tukiwikaga ikatosha nilikua kapombee asee mkuu we acha tuPombe hainaje maana, yaani wakti sahv ndo inanifanyaa nawika mtaani
sasa mimi ndo ntakuwa mrithi wako mkuuWika tu, sisi tukiwikaga ikatosha nilikua kapombee asee mkuu we acha tu
sawa bishura nashkuruu sanaa kwa ushaurii wakooPiga GONGO, KALIINYA, WHISKY, NA NYINGINE KALI NDO ZENYE UHONDO ZAIDI, UKIFIKA HOSPITALI KUTIBIWA MAPAFU YATAKAYOKUWA YAMEOZA, UWASALIMIE UTAKAO WAKUTA HUKO WAAMBIE MIRINDA NYEUSI YA JERO TYUH, MAZIWA MGANDO YENYE ASALI NA VINYWAJI VINGINE VITAMU N VILECI CYA AINA NYINGINE.UWE NA UNYWAJI MWEMA NDG.
Powa ww tu..sawaa mkuu tupange appointment mkuu