Hatimaye nimechumbiwa

Hatimaye nimechumbiwa

Siku ya jana nmekua engaged. I'm so happy and so is my family. Nahisi kama sipo juu ya dunia nahisi nimeingia ndani ya dunia kwa furaha nliyo nayo. I can talk about it forever. Nataka nweke hta picha ya mkono lakn naogopa. Nina furaha sna leo.
Congrats.
I am happy for you, dear OP.
 
Hongera sana, sasa ni mwendo wa kukesha ista kutafuta magauni, steps, kutafuta kina mc galab
Ila subiri stress za kuhakikisha ili jambo linafanyika
 
Siku ya jana nmekua engaged. I'm so happy and so is my family. Nahisi kama sipo juu ya dunia nahisi nimeingia ndani ya dunia kwa furaha nliyo nayo. I can talk about it forever. Nataka nweke hta picha ya mkono lakn naogopa. Nina furaha sna leo.
Ndoa na iheshimiwe na watu wote, na malazi yawe safi; kwa maana waasherati na wazinzi Mungu atawahukumia adhabu,Waebrania 13:4.
Sasa uachane na ma X wako,wafute kabisa kwenye phonebook,usije kutulilia humu unaomba ushauri...
 
Dada yangu wewe ni typical mentaly ill. Nyuzi zako ni ushahidi tosha. Lemme show you ili na watu wengine waelewe.

Vipi huyu mwalimu alikupata?
View attachment 1748864

Vipi bado uko CANADA ama ulisharudi Bongo?
View attachment 1748862

Vipi Edward bado uko naye ama bado kakublock?
View attachment 1748863

Vipi aloku-engage ana ndevu?View attachment 1748861

Vipi umeamua kumpiga chini mmoja ama ndo unaenda nao kwa pamoja?
View attachment 1748860

Vipi ulishaacha ubaguzi?
View attachment 1748868

Vipi hii addiction ilishaisha?
View attachment 1748867

Vipi utaweza kweli kutokuwa busy na internet?
View attachment 1748877

Vipi baba alishaacha kukubaka?
View attachment 1748874

Mume mtarajiwa ana hii taarifa?
View attachment 1748875

Vipi mumeo ni mtz ama mcanada?
View attachment 1748876

Ulisoma ama ndo bado unaishi kwa kutumia uzuri wako?
View attachment 1748880

Huyu ndo alokuchumbia?
View attachment 1748879

Mwisho kabisa nakushauri kamuone daktari, wewe una shida mahali.
View attachment 1748878
Acha ku judge watu kwa past zao wewe kla mtu ana past yke haijalishi nzuri au mbaya.
 
Siku ya jana nmekua engaged. I'm so happy and so is my family. Nahisi kama sipo juu ya dunia nahisi nimeingia ndani ya dunia kwa furaha nliyo nayo. I can talk about it forever. Nataka nweke hta picha ya mkono lakn naogopa. Nina furaha sna leo.
Siku ukiachwa uje kwa furaha hivyo hivyo
 
Back
Top Bottom