Hatimaye nimechumbiwa

Siku ya jana nmekua engaged. I'm so happy and so is my family. Nahisi kama sipo juu ya dunia nahisi nimeingia ndani ya dunia kwa furaha nliyo nayo. I can talk about it forever. Nataka nweke hta picha ya mkono lakn naogopa. Nina furaha sna leo.
Congrats.
I am happy for you, dear OP.
 
Hongera sana, sasa ni mwendo wa kukesha ista kutafuta magauni, steps, kutafuta kina mc galab
Ila subiri stress za kuhakikisha ili jambo linafanyika
 
Siku ya jana nmekua engaged. I'm so happy and so is my family. Nahisi kama sipo juu ya dunia nahisi nimeingia ndani ya dunia kwa furaha nliyo nayo. I can talk about it forever. Nataka nweke hta picha ya mkono lakn naogopa. Nina furaha sna leo.
Ndoa na iheshimiwe na watu wote, na malazi yawe safi; kwa maana waasherati na wazinzi Mungu atawahukumia adhabu,Waebrania 13:4.
Sasa uachane na ma X wako,wafute kabisa kwenye phonebook,usije kutulilia humu unaomba ushauri...
 
Acha ku judge watu kwa past zao wewe kla mtu ana past yke haijalishi nzuri au mbaya.
 
Siku ya jana nmekua engaged. I'm so happy and so is my family. Nahisi kama sipo juu ya dunia nahisi nimeingia ndani ya dunia kwa furaha nliyo nayo. I can talk about it forever. Nataka nweke hta picha ya mkono lakn naogopa. Nina furaha sna leo.
Siku ukiachwa uje kwa furaha hivyo hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…