spidernyoka
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 7,557
- 20,477
ina maana PM haupajui mkuu?Piem ndio wap
Ooooo kumbe ulikuwa na maana hiyoina maana PM haupajui mkuu?
[emoji848]Ooooo kumbe ulikuwa na maana hiyo
Usipende kukimbilia pm utaja chumbiwa wew dogo
Madume jike yanajulikanaOoooo kumbe ulikuwa na maana hiyo
Usipende kukimbilia pm utaja chumbiwa wew dogo
π€£π€£π€£ limekukaa kooni kashushie na maji poleeeeMadume jike yanajulikana
Nshaenda kunywa maji moyo wangu unaelea sasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787] limekukaa kooni kashushie na maji poleeee
Ah kweli babeπNimepata wivu nasie lazma tuingejiane mwezi ujao π
Muhimu sanaAh kweli babeπ
Kumbe bado tuu jamaa [emoji2][emoji2]Ah kweli babe[emoji23]
Aah bado tu eti ananichunguza na kunisoma kama kitabu vileπKumbe bado tuu jamaa [emoji2][emoji2]
Wewe ndio unasema hivo lkn yeye anaona amepata tanzaniteAliyeku engage ana hasara kubwa sana ππππ wacha nisiongee zaidi
Sasa hpa kuna madhara gani? Kuwa engaged ni madhara?Mabinti wa chuo wana mambo mengi mno, mara send-off, bridal shower n.k. ni upuuzi mtupu. End of ze day ndoa kwishney. Ndio kuiga tamaduni za kibeberu madhara yake ndi hayo.
Kwann? Au Watu wa jamii forums wataniroga?Umeleta mapema sana, subiri angalau ungesubiri hata ndoa ifungwe.
Hawezi. tumetoka mbali snaFanya fasta jamaa asibadilishe mawazo
Ningekuwa mtoto nisinge kuwa engaged. Wacha matusiStupid, utoto unakusumbua ukikua utaacha
Sikumbuki km nimesema nina mihemko au expectations nyingi πJifunze kuto kufurahi sana wakati mwingine.....
Wapo waliovalishwa Pete na still wanatembea nazo na zimeshakuwa hirizi maana hazina ndoa, wapo waliotolewa mahari na kila kitu ila siku ya ndoa muoaji hakuonekana
Wapo waliozalishwa na wanamapete ya uchumba miaka nenda rudi.....
Ushauri mdogo kwaakili zangu hizi za Guiness punguza munkari,punguza expectations, punguza mihemko na utafanikiwa
Siku ya jana nimekua engaged. I'm so happy and so is my family. Nahisi kama sipo juu ya dunia nahisi nimeingia ndani ya dunia kwa furaha niliyo nayo. I can talk about it forever.
Nataka niweke hata picha ya mkono lakini naogopa. Nina furaha sana leo.
Kijana mdogo unakuwa na characters ya kichawi shdkdhdjdjddbKiupande wangu huyu atarudi tena na thread itakayousu kutoolewa japo kuchumbiwa natabiri hilo ajiandae
Demu mwenyewe anaonekana mapepe huyo boy ataoa empty box Tu