Hatimaye nimechumbiwa

Hatimaye nimechumbiwa

Hongera,ila usisahau mechi za ndondo na sisi mabaharia wa kitaani kwako huku.
 
Mabinti wa chuo wana mambo mengi mno, mara send-off, bridal shower n.k. ni upuuzi mtupu. End of ze day ndoa kwishney. Ndio kuiga tamaduni za kibeberu madhara yake ndi hayo.
Sasa hpa kuna madhara gani? Kuwa engaged ni madhara?
 
Jifunze kuto kufurahi sana wakati mwingine.....

Wapo waliovalishwa Pete na still wanatembea nazo na zimeshakuwa hirizi maana hazina ndoa, wapo waliotolewa mahari na kila kitu ila siku ya ndoa muoaji hakuonekana

Wapo waliozalishwa na wanamapete ya uchumba miaka nenda rudi.....

Ushauri mdogo kwaakili zangu hizi za Guiness punguza munkari,punguza expectations, punguza mihemko na utafanikiwa
Sikumbuki km nimesema nina mihemko au expectations nyingi 🙄
 
Hongera sana, tupia basi hiyo picha ya mkono tuuone ulivyopendeza kwa hina.
Siku ya jana nimekua engaged. I'm so happy and so is my family. Nahisi kama sipo juu ya dunia nahisi nimeingia ndani ya dunia kwa furaha niliyo nayo. I can talk about it forever.

Nataka niweke hata picha ya mkono lakini naogopa. Nina furaha sana leo.
 
Back
Top Bottom