Hatimaye nimefanikiwa

chitanda.nyoka

Senior Member
Joined
May 3, 2012
Posts
193
Reaction score
43
wadau nimehangaika muda mrefu kujiunga humu jf maana kila surname nnaloandika nna ambiwa lipo mpaka nilijiandika surname shoga nikaambiwa pia yupo du
 
Heee, pole sana na karibu! Ila sidhani kama hapa ni mahali pake... Enjoy yourself mkuu!
 
wadau nimehangaika muda mrefu kujiunga humu jf maana kila surname nnaloandika nna ambiwa lipo mpaka nilijiandika surname shoga nikaambiwa pia yupo du

Hii ni jukwaa linalohusika na masuala ya kazi na tenda!!! Unatuchanganya, mi nilikiri umefanikiwa kupata kazi au tenda!!!
 
Hii ni jukwaa linalohusika na masuala ya kazi na tenda!!! Unatuchanganya, mi nilikiri umefanikiwa kupata kazi au tenda!!!

Nipate kazi wapi baba mtu maana tumehangaika dsm mpaka nikaona labda huko wasomi wengi nimehamia masasi,huku ndo noma kabisa afadhari ya dar maana huku ndo kuna ubaguzi kwenye interview niliulizwa ww mtu wa wapi?
 
dah kweli we mgeni humu jamvin sie huku tunatafutanga unga wa watoto.
 
dah kweli we mgeni humu jamvin sie huku tunatafutanga unga wa watoto.

me pia msaka ajira kam wewe tu,tena afadhari ya wewe au wengne ambao ni wazima me nimemaliza chuo nna bachelor ya business administration but me ni mlemavu wa mguu kwahyo me ajira nnazo ckilizia ni za maofisini tu benki au mawizarani,huko uhamiaji,tpdf,magereza nawaachia mgombanie
 
wadau nimehangaika muda mrefu kujiunga humu jf maana kila surname nnaloandika nna ambiwa lipo mpaka nilijiandika surname shoga nikaambiwa pia yupo du
kwaio ulikua unatafuta pa kujiunga penye mashoga au?? ebu toa upuuzi wako huku watu wa kazi tu, peleka upuuzi wako facebook
 
Reactions: GP
me pia msaka ajira kam wewe tu,tena afadhari ya wewe au wengne ambao ni wazima me nimemaliza chuo nna bachelor ya business administration but me ni mlemavu wa mguu kwahyo me ajira nnazo ckilizia ni za maofisini tu benki au mawizarani,huko uhamiaji,tpdf,magereza nawaachia mgombani

dah pole ila nyie ndio mna nafasi za upendeleo kila idara
 
Tatizo humu hata la saba wamo! me nadhani eligibilty ibadilishwe humu sio kila mwenye kuweza ku type na yy member I think a minimum of Bachelor degree n above.The rest waende fb au mfufue hi 5 kupunguza utoto hapa jamvini
 
Reactions: GP
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…