Selemani Sele
JF-Expert Member
- Feb 25, 2023
- 319
- 711
Asanteni sana kwa wale walionuwa wanapita pita kwenye post zangu na kuchukua uongo na ukweli,post zangu zimefika views laki moja ni jambo la kushukuru.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawalipi ila atleast unapata faraja kuna watu wanaweza kukusikilizaNauliza, Kuna pesa yoyote wanalipa hawa jamaa ukifikia kiwango hiko?
Faraja moyoniKweli we Sele, zinakusaidia nini hizo views mpaka ushukuru watu?
Kweli we Sele, zinakusaidia nini hizo views mpaka ushukuru watu?
Jamani😂😂 mnipigie makofianafikiri ni you tube ndio alipwe
Inastaajabisha Sana aiseeKweli we Sele, zinakusaidia nini hizo views mpaka ushukuru watu?
Aisee!Hawalipi ila atleast unapata faraja kuna watu wanaweza kukusikiliza
ShukraniSema huna dharau hongera yako
Selemani bwana watu kibaoTatizo Selemani Sele ukilewa unapigana
😂😂Msambaaa nzezewewe n Muhaya au Muha 😂
Yaani kama una laana seleSelemani bwana watu kibao