Hatimaye nimefika views laki moja kwenye post zangu jamii forums

Hongera lipia Tsh 50,000/= upewe fomu maalum ya watu waliofikisha views 100k ili usajiliwe kwenye huduma ya kulipwa kutokana na viewers, na baada ya kulipia elfu 50 utatumiwa million 1
 
Hahahaha
Ukianza kulipwa kama mm sijui itakuwaje kama views laki Moja tu maneno yanakutoka
 
Hongera lipia Tsh 50,000/= upewe fomu maalum ya watu waliofikisha views 100k ili usajiliwe kwenye huduma ya kulipwa kutokana na viewers, na baada ya kulipia elfu 50 utatumiwa million 1
Michezo iyo
 
Mcheki moderator mmoja ukwambie hii ishu yako ili uanze kulipwa kama sisi wengine
 
Back
Top Bottom