Hatimaye nimefikisha likes 19,999 na followers 11

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Amani iwe juu yenu wakuu,

Hatimaye nimeanza kuwa mkongwe sasa kwa jukwaa la JF. Nimejiunga kitambo sana humu ndani wakongwe wenzangu wanajua. Japo madogo wa juzi hawawezi jua.

Nimejiunga kipindi kile kupata like ilikuwa kitu ngumu sana siyo kama saiz kuna uzi wa kupata malike. Ni jasho na damu sana aisee. Yote kwa yote najipongeza. Bado nakukumbuka dada yangu nalendwa


LONDON BOY

 

Attachments

  • Screenshot_2019-10-31-10-54-07.jpeg
    39.9 KB · Views: 2
Aisee, hongera sana beira boy sasa chukua hizo likes jumlisha na trophy points kisha gawanya na idadi ya post zako halafu zidisha kwa 100 tutapate asilimia ya pumba unazoandika JF

Unaweza kuamua kutokuzidisha kwa 100, ambapo jibu lake litakuwa ni kiasi ambacho jf wanatakiwa kukulipa kwa mchango wako
 
Ulikalele gete. Sasa likes zitakuletea chakula mezani mdogo wangu ? Likes zimewekwa kwa lengo la kisaikolojia zaidi. Yaani ukipata likes ujisikie vizuri ili uweze kupost zaidi ila wewe haufaidi chochote. Wanaofaidi ni kina Maxence Melo maana wanaingiza cash.
 
Nilikuwa na ndoto za kufikisha like elf 20 ila sikujuaga nitazifikisha lini ndo maana nimefurah sana
 
Ina maana kwa wastani kila mchango wako ulikuwa unapata approximately 1.3 like ngoja niipitie kuona kama ilikuwa yenye tija maana huu wastani siyo mzuri

Kongole sana lkn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…