Hatimaye nimefikisha likes 19,999 na followers 11

Hatimaye nimefikisha likes 19,999 na followers 11

Wabeja sana ilomboye
Ulikalele gete. Sasa likes zitakuletea chakula mezani mdogo wangu ? Likes zimewekwa kwa lengo la kisaikolojia zaidi. Yaani ukipata likes ujisikie vizuri ili uweze kupost zaidi ila wewe haufaidi chochote. Wanaofaidi ni kina Maxence Melo maana wanaingiza cash.
 
Makubwa haya, haya na sie wengine!??
 
Hivi tuzo point zinavunwaje mazee?. Maana ninazo mpaka elfu 21. Nizigeuzeje? Hapo napiga ngapi?
Dah! Hizo unaweza kuzibadili kuwa mpesa, dakika au Internet bundles.
 
Dah! Hizo unaweza kuzibadili kuwa mpesa, dakika au Internet bundles.
I see tayari bwana nimezipiga mkuu. Nilikuwa na elfu 23.... nimepiga,nimepata Tsh. 16.... eti na wenyewe kwenye hiyo kuna makato eti ya tuzo point elfu 111.... . Hii mitandao ya simu inatuchezea itakavyo. Wanajifanya wanakupooza huku wanajifanya wamekupa kulia,halafu wanapita kushoto fasta wanakukwangua
 
Ulikalele gete. Sasa likes zitakuletea chakula mezani mdogo wangu ? Likes zimewekwa kwa lengo la kisaikolojia zaidi. Yaani ukipata likes ujisikie vizuri ili uweze kupost zaidi ila wewe haufaidi chochote. Wanaofaidi ni kina Maxence Melo maana wanaingiza cash.
Sawasawa...
 
Back
Top Bottom