Duuh umetuita madogo kumbe na wewe ni dogo tuu umejiunga 2016? Punguza dharauNilikuwa na ndoto za kufikisha like elf 20 ila sikujuaga nitazifikisha lini ndo maana nimefurah sana
Ulikalele gete. Sasa likes zitakuletea chakula mezani mdogo wangu ? Likes zimewekwa kwa lengo la kisaikolojia zaidi. Yaani ukipata likes ujisikie vizuri ili uweze kupost zaidi ila wewe haufaidi chochote. Wanaofaidi ni kina Maxence Melo maana wanaingiza cash.
Hivi tuzo point zinavunwaje mazee?. Maana ninazo mpaka elfu 21. Nizigeuzeje? Hapo napiga ngapi?Vipi hizo likes zinavunwa kama tuzo points? Au tunaishia kuziona tu?
Uje nikufundishe. Na mimi nilifundishwa na jinsia kama yakoNaona reply, edit, delete na thank kidude cha kukugongea like sikion
Dah! Hizo unaweza kuzibadili kuwa mpesa, dakika au Internet bundles.Hivi tuzo point zinavunwaje mazee?. Maana ninazo mpaka elfu 21. Nizigeuzeje? Hapo napiga ngapi?
Unafanyaje mkuu?Dah! Hizo unaweza kuzibadili kuwa mpesa, dakika au Internet bundles.
I see tayari bwana nimezipiga mkuu. Nilikuwa na elfu 23.... nimepiga,nimepata Tsh. 16.... eti na wenyewe kwenye hiyo kuna makato eti ya tuzo point elfu 111.... . Hii mitandao ya simu inatuchezea itakavyo. Wanajifanya wanakupooza huku wanajifanya wamekupa kulia,halafu wanapita kushoto fasta wanakukwanguaDah! Hizo unaweza kuzibadili kuwa mpesa, dakika au Internet bundles.
😁😁Uje nikufundishe. Na mimi nilifundishwa na jinsia kama yako
Nifuate. [emoji1739][emoji1739][emoji1739][emoji1739][emoji16][emoji16]
Kwa? Au kwa kupiga hiyo elfu 1651 ya tuzo point?Hongera
Sawasawa...Ulikalele gete. Sasa likes zitakuletea chakula mezani mdogo wangu ? Likes zimewekwa kwa lengo la kisaikolojia zaidi. Yaani ukipata likes ujisikie vizuri ili uweze kupost zaidi ila wewe haufaidi chochote. Wanaofaidi ni kina Maxence Melo maana wanaingiza cash.
HiyohiyoKwa? Au kwa kupiga hiyo elfu 1651 ya tuzo point?
Nimekuita tugawane hii bonasHiyohiyo