Hatimaye nimejiunga JF, naamini nitaona yale niliyo yatarajia

kiredio Jr

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2024
Posts
989
Reaction score
1,843
Habari za wakati huu wadau,

Kiredio amekuwa mfuatiliaji wa forum hii kaa kipindi kirefu na sasa nimeamua kujiunga rasmi.

Naamini JF ina watu smart na wenye upeo mkubwa wa kuchangia na hata kushauri na kutoa maoni tofauti na mitandao mingine.

Nafurahi sana kuungana nanyi.
 
Karibu jf wewe utapewa jina la junior.Junior ni wale watoto tundu,,ukikaa kwenye kochi kama wewe ni mgeni utakoma ubishi.

Ni kweli jf ina watu smart ila naona kama kwa sasa wamejichimbia mahali,,sasa hivi mada zipo za kawaida sana tofauti na zamani..ukitoa zile za kisiasa au habari mbalimbali na zingine lkn zile creative za kujenga hakuna.
 
Sababu ya kukosekana kwa mada zinazo jenga na kufunza ni nini? Au Jf imevamiwa na watu wasio na weledi kama mwenye mitandao mingine?
 
Kikubwa nahic ni uhuru uliopitiliza wa habari na kujieleza hii inapelekea kuwa na vitu vya ajabu kweli sasa wasimamizi wanaona kama ni kitu cha kawaida kwa sababu dunia ya sasa ndio inataka hivyo kumbe sasa hiyo sio kwa wote .
 
Habari za wakati huu wadau,

Kiredio amekuwa mfuatiliaji wa forum hii kaa kipindi kirefu na sasa nimeamua kujiunga rasmi.

Naamini JF ina watu smart na wenye upeo mkubwa wa kuchangia na hata kushauri na kutoa maoni tofauti na mitandao mingine.

Nafurahi sana kuungana nanyi.
Karibu.
BTW, Ni ID tu ndo mpya au wewe na ID wote wapya humu JF?
 
Back
Top Bottom