kiredio Jr
JF-Expert Member
- Jul 8, 2024
- 989
- 1,843
Asante sana MkuuKaribu sana mkuu
Asante, hiyo kauli mbiu ina maana gani?Karibu jf! Kauli mbiu ni ileile
'Mjinga mpe Cheo'
Sababu ya kukosekana kwa mada zinazo jenga na kufunza ni nini? Au Jf imevamiwa na watu wasio na weledi kama mwenye mitandao mingine?Karibu jf wewe utapewa jina la junior.Junior ni wale watoto tundu,,ukikaa kwenye kochi kama wewe ni mgeni utakoma ubishi.
Ni kweli jf ina watu smart ila naona kama kwa sasa wamejichimbia mahali,,sasa hivi mada zipo za kawaida sana tofauti na zamani..ukitoa zile za kisiasa au habari mbalimbali na zingine lkn zile creative za kujenga hakuna.
Kikubwa nahic ni uhuru uliopitiliza wa habari na kujieleza hii inapelekea kuwa na vitu vya ajabu kweli sasa wasimamizi wanaona kama ni kitu cha kawaida kwa sababu dunia ya sasa ndio inataka hivyo kumbe sasa hiyo sio kwa wote .Sababu ya kukosekana kwa mada zinazo jenga na kufunza ni nini? Au Jf imevamiwa na watu wasio na weledi kama mwenye mitandao mingine?
Hii comment unaonekana wewe mzohefu Sana umu jamii forum umekujq na Id mpyaSababu ya kukosekana kwa mada zinazo jenga na kufunza ni nini? Au Jf imevamiwa na watu wasio na weledi kama mwenye mitandao mingine?
Asante mkuuKaribu sana mkuu
Nilikuwa naingia naangalia kwa muda mrefu sahivi nimejiungaHii comment unaonekana wewe mzohefu Sana umu jamii forum umekujq na Id mpya
🤣🤣🙌🏾We ndio yule kiredio mnoko huko mjini insta?
Karibu.Habari za wakati huu wadau,
Kiredio amekuwa mfuatiliaji wa forum hii kaa kipindi kirefu na sasa nimeamua kujiunga rasmi.
Naamini JF ina watu smart na wenye upeo mkubwa wa kuchangia na hata kushauri na kutoa maoni tofauti na mitandao mingine.
Nafurahi sana kuungana nanyi.
Karibu tenaNilikuwa naingia naangalia kwa muda mrefu sahivi nimejiunga
Ngoja ajibu🤣🤣🙌🏾