Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
Karibu kwenye Bar wahudumu ni moderatorHabari za wakati huu wadau,
Kiredio amekuwa mfuatiliaji wa forum hii kaa kipindi kirefu na sasa nimeamua kujiunga rasmi.
Naamini JF ina watu smart na wenye upeo mkubwa wa kuchangia na hata kushauri na kutoa maoni tofauti na mitandao mingine.
Nafurahi sana kuungana nanyi.
Hapana sio mimi huyo insta situmii, jina la kiredio ni kwasababu naongea haraka ndymaana nikapewa jina mtaaniWe ndio yule kiredio mnoko huko mjini insta?
Mwanzo nilikuwa nasoma kama guest saihivi nimefungua ID yanguKaribu.
BTW, Ni ID tu ndo mpya au wewe na ID wote wapya humu JF?
Asante pepKaribu sana mkuu
Ufesibuku mwisho getin.
AsanteKaribu kwenye Bar wahudumu ni moderator
Asante sanaKaribu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT ufaidi.
PM ni wapi?Njoo PM chapu na sh 5000 kwa ajili ya kukamilisha usajili wako
Ni sawa lakini naamini yapo mengi ya kujifunzaSisi ndo tunatakiwa tutarajie nidham kutoka kwako wewe hutakiwi utarajie chochote
Hapa JF hapo juu kulia kuna kialama cha meseji ndio hapo pm, sasa gusa jina langu afu Start conversation na Mm ntakutumia namba kwa ajili ya kutuma hy pesa ya usajili wako kikamilifu.PM ni wapi?
TAPELIHapa JF hapo juu kulia kuna kialama cha meseji ndio hapo pm, sasa gusa jina langu afu Start conversation na Mm ntakutumia namba kwa ajili ya kutuma hy pesa ya usajili wako kikamilifu.
Sawa, tuone usajili wako utakamilika vp bila kulipiaTAPELI
Pita mkuu haraka mana mambo ni mengi hatutapata muda wa kukupitisha huko akishakuja Chawa Pro Max nanliuBado sijapita huko
Itakuwa unacho kigugumizi cha mbali kama cha Ms RHapana sio mimi huyo insta situmii, jina la kiredio ni kwasababu naongea haraka ndymaana nikapewa jina mtaani
Daah aiseee,😂🙌