Hatimaye nimejiunga nanyi!

Hatimaye nimejiunga nanyi!

haaaaaaaaaahaaaaaaaahaaaaaaa TheDealer we ni nouma,mgeni wetu aondoe shaka kuta unamlindamlinda wakati mi nampikia sawa eeehhh?
Karibu sana Sister T, nipo mm na Blue G tukiwakaribisha wageni takribani 150 kwa kila siku! mwanajamii yeyote akikujibu vibaya plz report kwangu! dawa ya wanajamii wakorofi kwa wageni nimekabidhiwa!

Karibu sana!
 
Last edited by a moderator:
karibu mkuu pitia kwanza jf rules.
 
karibu sana mamii

Shaka ondoa mrembo jisikie uko kwa home,unapendela msoi gani?

karibu mkuu pitia kwanza jf rules.

Karibu sana

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums

Karibu sana JF...

Jamani!
nimefarijika sana kwa ukaribisho wenu jamani! nawashukuru sana kwa moyo mmoja!
Ahsanteni sana!
 
Mbona waonekana mzoefu weye...yaani umetukusanya lumbesa na kutujibu kwa mpigo!!!
teh teh teh!!
Umenifanya niangue kicheko kikubwa sana.
JF kuna mambo sana.

Nafikiri atakuwa amepata oriention kwanza kabla ya kujiunga JF, maana huu uzoefu alioanza nao hata mimi sina.
 
Mbona waonekana mzoefu weye...yaani umetukusanya lumbesa na kutujibu kwa mpigo!!!
Aisee, watu8 bhana! eti "umetukusanya lumbesa ukatujibu kwa kwa mpigo"!
hurumia mbavu zangu basi jamani!
 
Last edited by a moderator:
teh teh teh!!
Umenifanya niangue kicheko kikubwa sana.
JF kuna mambo sana.

Nafikiri atakuwa amepata oriention kwanza kabla ya kujiunga JF, maana huu uzoefu alioanza nao hata mimi sina.

Haswaaaaaaaaa!!!!!!! ila nimecheka sana kwa kweli! watu8 kweli watu hawaishi vituko!
 
Last edited by a moderator:
Karibu sana JF. Hapa sote ni ndugu au marafiki.
Nahisi utakuwa mrembo wa Ukweli, please tupia na picha yako kidogo tufurahi pamoja!!!

huwa mnaanzaga hivihivi!!! halafu akitupia picha what next?
 
Haaaaaaaaaahaaaaaaaaaahaaaaaaaa watu8 umenichekesha kwelikweli,afu umeniwahije maanake na mi iilibakia kidogo tu na mi nimuulize hilo swali,hivi swahiba unaweza kuamini kuwa mi na usinia member wangu humu jf mpaka leo hii siwezi hayo maujanja ya kuwakusanya watu na kuwajibu?????????????swahiba em nipe maujuzi mwenziyo huwa wanfanyaje?
Mbona waonekana mzoefu weye...yaani umetukusanya lumbesa na kutujibu kwa mpigo!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom