Blue G
JF-Expert Member
- Jun 20, 2012
- 5,339
- 3,667
mimi wewe ndugu yangu?yaani mi mwenyewe nimebaki mdomo wazi maanake hata mi hayo maujuzi sinaga kabisa hata sijui unaanzaje???????????haaaaaaaaaaahaaaaaaahaaaaaa jf burudani tupu.teh teh teh!!
Umenifanya niangue kicheko kikubwa sana.
JF kuna mambo sana.
Nafikiri atakuwa amepata oriention kwanza kabla ya kujiunga JF, maana huu uzoefu alioanza nao hata mimi sina.