Hatimaye nimekatisha ndoto ya shangazi

Hatimaye nimekatisha ndoto ya shangazi

DiasporaUSA

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2016
Posts
23,382
Reaction score
29,639
Leo nimechoka zangu alafu shangazi amekuja anataka nimuunganishe facebook. Imebidi nimwambie
lazima awe na picha passport size 4 kwaajili ya kuweka profile picture, barua kutoka kwa afisa mtendaji na Atm card ya nmb bank. Alafu awe na marefa wanne ambao wamekuwa facebook for more than 3 years. Amesema
hataki tena kujiunga fb![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Saa hivi niko zangu kibarazani naendelea kupunguza uchovu sakafuni
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Leo nimechoka zangu alafu shangazi amekuja anataka nimuunganishe facebook. Imebidi nimwambie
lazima awe na picha passport size 4 kwaajili ya kuweka profile picture, barua kutoka kwa afisa mtendaji na Atm card ya nmb bank. Alafu awe na marefa wanne ambao wamekuwa facebook for more than 3 years. Amesema
hataki tena kujiunga fb![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Saa hivi niko zangu kibarazani naendelea kupunguza uchovu sakafuni
Hiyo siyo mchezo
 
Wanatekeleza maangizo ya mganga ije kuwa haya. Subiri aje navyo halafu utampa kichekesho gani chengine.[emoji12]

Ndukiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
😀😀😀😀😀😀😀
 
Mmhhh mm nilijua umemla nyapuii sasa kibendi nje nje
 
Kweli hupendi ujinga, na harudii tena.
 
Dah!! watu wa humu bwana ni shida, lazima ucheke tu.
 
Wanatekeleza maangizo ya mganga ije kuwa haya. Subiri aje navyo halafu utampa kichekesho gani chengine.[emoji12]

Ndukiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Amesema bora hio hela apeleke kwenye vicoba
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Na maisha haya sikutwa akaishia Tandale kwa wauza pombe za kienyeji. [emoji1] [emoji1]

Ndukiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Sijakuelewa!unamaanisha alikuwa anataka kujua hatua za kupata mkopo crdb?
 
Masharti kupita afisa ardhi wa serikali ya Magufuli!
 
Back
Top Bottom