system hacker
JF-Expert Member
- Mar 13, 2022
- 426
- 709
Cheki mifumo ya biashara, cheki mifumo ya fedha, cheki mifumo ya kisiasa, cheki mifumo ya afya, cheki mifumo ya ajira........cheki kila sehemu utakubaliana nami ni nchi ngumu sana ya kiume.Kwa hiyo Tanzania ni nchi ya kunyooshana bila shaka.
Hii ni nchi ya hovyo snCheki mifumo ya biashara, cheki mifumo ya fedha, cheki mifumo ya kisiasa, cheki mifumo ya afya, cheki mifumo ya ajira........cheki kila sehemu utakubaliana nami ni nchi ngumu sana ya kiume.
The survival for the fittest. The weak must perish.
Wamekunyoosha uko CCM sasa unachanganya madesa na Chadema.Ndio. Finally, nimekuja kubaini hili. Ukiwanyoosha wanaume wenzio unakula shavu. Haijalishi upo chama gani.
Kama upo CCM halafu ukawanyoosha CCM unakula shavu.
Kama upo CHADEMA na ukawanyoosha CHADEMA unakula shavu.
Kama upo CHADEMA na ukawanyoosha CCM unakula shavu.
Kama upo CCM na ukawanyoosha CHADEMA unakula shavu.
Tahadhari: Usinyooshe Serikali. Usiguse Serikali. Usinyooshe huku na kule. Chagua upande moja kwa moja usiyumbe.
Yaani, hii ni nchi ya kunyooshana. Ni nchi ngumu sana ya kiume. Ukiwa legelege hauli. Sio tu hauli maisha bali hata wanawake hauli.
Prove me wrong!
Sie wengine tupo kwenye kada ya uhandisi,tumejiajiri,tunanyoosha issues,tunapiga pesa,mambo ya uchawa,hatuyajuhi!Ndio. Finally, nimekuja kubaini hili. Ukiwanyoosha wanaume wenzio unakula shavu. Haijalishi upo chama gani.
Kama upo CCM halafu ukawanyoosha CCM unakula shavu.
Kama upo CHADEMA na ukawanyoosha CHADEMA unakula shavu.
Kama upo CHADEMA na ukawanyoosha CCM unakula shavu.
Kama upo CCM na ukawanyoosha CHADEMA unakula shavu.
Tahadhari: Usinyooshe Serikali. Usiguse Serikali. Usinyooshe huku na kule. Chagua upande moja kwa moja usiyumbe.
Yaani, hii ni nchi ya kunyooshana. Ni nchi ngumu sana ya kiume. Ukiwa legelege hauli. Sio tu hauli maisha bali hata wanawake hauli.
Prove me wrong!
HahahahahWamekunyoosha uko CCM sasa unachanganya madesa na Chadema.
Au unatafuta wafuasi uzi unoge? Bila Chadema hupati comment
Pole sana. NakuelewaPointless
Jamaa amekariri sanaSie wengine tupo kwenye kada ya uhandisi,tumejiajiri,tunanyoosha issues,tunapiga pesa,mambo ya uchawa,hatuyajuhi!
Kuwa chawa kama alivyokuwa Makonda,Kingai,Mollel,na wale COVID 19,ni matumizi madogo sana ya akili,
Ndio. Finally, nimekuja kubaini hili. Ukiwanyoosha wanaume wenzio unakula shavu. Haijalishi upo chama gani.
Kama upo CCM halafu ukawanyoosha CCM unakula shavu.
Kama upo CHADEMA na ukawanyoosha CHADEMA unakula shavu.
Kama upo CHADEMA na ukawanyoosha CCM unakula shavu.
Kama upo CCM na ukawanyoosha CHADEMA unakula shavu.
Tahadhari: Usinyooshe Serikali. Usiguse Serikali. Usinyooshe huku na kule. Chagua upande moja kwa moja usiyumbe.
Yaani, hii ni nchi ya kunyooshana. Ni nchi ngumu sana ya kiume. Ukiwa legelege hauli. Sio tu hauli maisha bali hata wanawake hauli.
Prove me wrong!
Nadhani bado hatujafika huko rasmi ila tunakaribia karibia kufika huko!!Cheki mifumo ya biashara, cheki mifumo ya fedha, cheki mifumo ya kisiasa, cheki mifumo ya afya, cheki mifumo ya ajira........cheki kila sehemu utakubaliana nami ni nchi ngumu sana ya kiume.
The survival for the fittest. The weak must perish.
Bado sana aisee ukilinganisha na nchi za wenzetu Kenya,Nigeria,Ghana,Cameroon plus other West African countries maisha yao ni ya kibabe sana kila mahali.Nadhani bado hatujafika huko rasmi ila tunakaribia karibia kufika huko!!
Kweli kabisa !!Bado sana aisee ukilinganisha na nchi za wenzetu Kenya,Nigeria,Ghana,Cameroon plus other West African countries maisha yao ni ya kibabe sana kila mahali.
Usipokuwa mbabe au usipotumia akili yako nje ya box hupati hata 100.
Huko hakuna mtu atakupa hata shilingi moja kwa kazi ya uchawa.
Una one way model of thinking hahahaha kuwa flexible jombaJamaa amekariri sana
Yaani kwenye mada yake amegeneralize kama kwamba watu wotr humu tunaishi maisha ya kujikomba kwa wanasiasa na viongozi wa nchi
Wanaolalamika ni wale wanaonyooshwa wale wanyooshaji wala hawana habari ni km wapo peponi hv....fuatilia. Hii ni nchi ya kiume the weak must perish hakuna mtu mtu anayewazingatia the weakAisee umewaza nini mpaka kuja na issue hii??
Thank you. Unanielewa. Wale wagumu kuelewa wataeleweshe kwa lazima tu na wataelewa tuNadhani bado hatujafika huko rasmi ila tunakaribia karibia kufika huko!!
Tofautisha uchawa na kunyooshana. Hapa sizungumzii uchawa nazungumzia kunyooshana. Got it? Mifumo ya biashara ina uchawa gani? Mifumo ya fedha ina uchawa gani? Usikariri comrade utanyooshwa mie sipo shauri yakoBado sana aisee ukilinganisha na nchi za wenzetu Kenya,Nigeria,Ghana,Cameroon plus other West African countries maisha yao ni ya kibabe sana kila mahali.
Usipokuwa mbabe au usipotumia akili yako nje ya box hupati hata 100.
Huko hakuna mtu atakupa hata shilingi moja kwa kazi ya uchawa.
Huyu alishafeli kitambo sana. Achana nayeteam nguruwe hujateuliwa hata katibu kata.