Mshangazi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 1,143
- 4,462
Katika pitapita zangu leo jioni maeneo fulani ya kujidai nikakutana live na mwanajf mashuhuri sana hapa kutokana michango yake ya ajabu kwenye nyuzi tofauti tofauti. Amenichangamkia sana sikuwahi kufikiria wanajf pia wana hulka tofauti na ID zao za hapa. Long life JF. Nimeenjoy leo